Dk.Shein,  ameupongeza uongozi wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ameupongeza uongozi wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira kwa kutekeleza vyema majukumu yao na kuutaka kutotumia…

Soma Zaidi

Upatikanaji wa dawa katika hospitali za Serikali Unguja na Pemba unazidi kuimarika. 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, ameueleza uongozi wa Wizara ya Afya kuwafahamisha wananchi juu ya mikakati iliyowekwa na Serikali katika…

Soma Zaidi

Dk.Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Changwa Lungu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Changwa Lungu kwa kutimiza miaka 53 tokea Taifa…

Soma Zaidi

Ujio wa meli ya Sultan Qaboos hapa Zanzibar haihusiani na masuala yoyote ya kisiasa

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imewaeleza wananchi wake kuwa ujio wa meli ya Sultan Qaboos hapa Zanzibar haihusiani na masuala yoyote ya kisiasa bali meli hiyo ilibeba ujumbe wa amani,kukuza…

Soma Zaidi

Dk.Shein amemuapisha Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha kuzuiya Magendo KMKM

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein leo amemuapisha Kapteni Khamis Simba Khamis kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM).

Soma Zaidi

UTEUZI

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu cha 4(a) cha Sheria ya Usajili ya Magazeti na Vijarida Namba 5 ya Mwaka1988,

Soma Zaidi

Wanafunzi waliopata Daraja la kwanza wa Kidato cha Nne na Kidato cha Sita wamepongezwa na Dk.Shein

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amewapongeza wanafunzi wa Zanzibar waliopata Daraja la kwanza wa Kidato cha Nne na Kidato cha Sita na kuwaeleza…

Soma Zaidi

UTEUZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Viongozi katika Taasisi Mbali Mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-

Soma Zaidi