Mazoezi ni kinga na tiba mbadala ya maradhi mbali mbali yanayoisumbua jamii.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa mazoezi ni kinga na tiba mbadala ya maradhi mbali mbali yanayoisumbua jamii katika maisha ya kila siku…

Soma Zaidi

Zanzibar imeweza kuirudisha sifa na heshima iliyokuwepo miaka mingi katika mchezo wa Mpira wa Miguu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa ni jambo la kufurahisha sana kwamba mwaka 2017 unaagwa huku Zanzibar ikiwa imeweza kuirudisha sifa na…

Soma Zaidi

Dk.Shein ashiriki usafi wa mazingira

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa hakuna mbadala wa usafi hivyo wananchi wote wanapaswa kuwa wasafi wao wenyewe pamoja na mazingira wanayoishi.

Soma Zaidi

Hafla ya kumpokea na kumpongeza Makamu M/Kiti wa CCM baada ya kuchaguliwa kwa kura zote

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amewataka viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi kutekeleza majukumu yao ili kuendelea kukipa ushindi chama hicho katika chaguzi zijazo na…

Soma Zaidi

Dk.Shein kuwazawadia viwanja vya kujenga nyumba na fedha taslim Shilingi milioni tatu kila Mchezaji

USIKU wa kuamkia leo ulikuwa ni wa kihistoria kwa timu ya mpira wa miguu ya Taifa ya Zanzibar,’Zanzibar Heroes’ baada ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed…

Soma Zaidi

Azma ya SMZ kati yake na Morocco katika masuala ya Kiuchumi,kijamii na kiutamaduni

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Issa Ussi Haji Gavu ameeleza azma ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kukuza na kuimarisha uhusiano kati yake…

Soma Zaidi

Kongamano la Kimataifa la Kiswahili limefunguliwa na RAIS wa Zanzibar na MBLM

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja ya kuithamini, kuiendeleza, kuipenda na kuitumia lugha ya kiswahili na kuizungumza bila…

Soma Zaidi