CHINA YAMTUMIA SALAMU ZA PONGEZI DK SHEIN

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Li Yuanchao amemtumia Salamu za Pongezi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kwa kuchaguliwa tena…

Soma Zaidi

CCM ZANZIBAR YAANDAA TAARAB RASMI KUMPOGEZA DK SHEIN

Vikundi vya vitatu vya Taarab jana vilitoa buradani ya aina yake ikiwa ni sehemu ya sherehe za kumpongeza Dk. Ali Mohamed Shein kwa kuapishwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la…

Soma Zaidi

Nitaaunda Serikali Itakayozingatia Umuhimu wa Kuwaunganisha Wananchi Wote

Mgombea urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kupitia Chama cha Mapinduzi-CCM Dk. Ali Mohamed Shein leo ameapishwa kushika wadhifa huo kwa kipindi kingine cha miaka mitano na…

Soma Zaidi

Sherehe ya kumuapisha Rais Mteule wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inawaarifu wananchi wote kwamba siku ya Alhamisi tarehe 24 Machi, 2016 itakuwa siku ya Mapumziko ili kuwawezesha Wananchi na hasa Watumishi wa Umma kushiriki…

Soma Zaidi

MWENYEKITI wa ZEC Mhe.Jecha Salim Jecha amemtangaza rasmi Mhe.Dk.Shein wa CCM kuwa Rais wa Zanzibar.

MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Mhe. Jecha Salim Jecha amemtangaza rasmi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba amechaguliwa kihalali na wananchi wa Zanzibar…

Soma Zaidi

Wananchi wahimizwa kujitokeze kwa wingi kutumia haki yao ya kikatiba ya kupiga Kura.

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. Ali Mohamed Shein amepiga kura na kusema matarajio yake ni kuona kila mwananchi mwenye haki ya kupiga kura ataitumia fursa hiyo…

Soma Zaidi

Tanzania ikiwemo Zanzibar inajivunia uhusiano na ushirikiano uliopo na Kuwait

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisistiza haja ya kuimarishwa uhusiano na ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Kuwait hasa katika kushajihisha…

Soma Zaidi

Kulinda Mapinduzi na Muungano ni jukumu lenu.

Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM)wametakiwa kujidhatiti zaidi kulinda na kuendeleza Mapinduzi ya mwaka 1964 na muungano uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wito huo umetolewa leo na Makamu…

Soma Zaidi