Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza viongozi wa dini, wanasiasa, waandishi wa habari na wananchi kupaza sauti kukemea matamko yote yanayoashiria uvunjifu wa amani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza viongozi wa dini, wanasiasa, waandishi wa habari na wananchi kupaza sauti kukemea matamko yote…

Soma Zaidi

Rais Mwinyi amefungua Soko la kisasa Chuini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amefungua rasmi Soko na Kituo cha Mabasi cha Kisasa Chuini, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi.Katika…

Soma Zaidi

Mhe. Dkt.Mwinyi amesema mafanikio makubwa ya maendeleo yaliyopatikana katika uongozi wa awamu ya nane yamechangiwa na kudumu kwa amani, mshikamano na utulivu nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema mafanikio makubwa ya maendeleo yaliyopatikana katika uongozi wa Awamu ya Nane yamechangiwa na kudumu…

Soma Zaidi

CCM itafanya Kampeni za Kistaarabu kwa sera zenye tija kwa Wananchi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ambaye pia ni Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amechukua fomu ya kugombea…

Soma Zaidi

Dk.Mwinyi amechukua Fomu ya Urais wa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ambaye pia ni Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo tarehe 30 Agosti 2025 amechukua…

Soma Zaidi