Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waumin wa Dini ya Kiislamu Shehiya ya Unguja Ukuu, kutumia vyema msikiti wa Al-Noor kwa ajili ya kujadili matatizo yanayoihusu jamii na kuyatafutia ufumbuzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waumin wa Dini ya Kiislamu Shehiya ya Unguja Ukuu, kutumia vyema msikiti wa Al-Noor kwa ajili ya kujadili…
Soma Zaidi