Dkt Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuweka mkazo zaidi kuwasaidia Wakulima ili waweze kunufaika na Kuendesha Kilimo chenye tija.
Mgombea wa kiti cha Rais wa Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuweka mkazo zaidi kuwasaidia Wakulima…
Soma Zaidi