Watumiaji wa mitandao ya kijamii na wale wenye zamana wawe makini kulinda hali ya amani ya nchi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka watumiaji wote wa mitandao ya kijamii na wale wenye dhamana ya kusimamia na kufanya tahariri wawe makini…
Soma Zaidi