Dk.Hussein Ali Mwinyi ameutaka uongozi wa Mikoa na Wilaya zote nchini kuhakikisha vijana wa Kizanzibari wanapewa kipaumbele katika upatikanaji wa nafasi za ajira katika miradi ya Uwekezaji maeneo yao

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka uongozi wa Mikoa na Wilaya zote nchini kuhakikisha vijana wa Kizanzibari wanapewa kipaumbele katika upatikanaji…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza haja kwa wawekezaji kuhakikisha miradi wanayoitekeleza inawafaidisha wananchi wanaoishi karibu na miradi hiyo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza haja kwa wawekezaji kuhakikisha miradi wanayoitekeleza inawafaidisha wananchi wanaoishi karibu na miradi…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amempongeza Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (UNICEF) Ofisi za Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amempongeza Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (UNICEF) ofisi za Zanzibar, Laxm Bhawani kwa…

Soma Zaidi