Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi ameipongeza azma ya Shirika la Umoja wa Mataifa UNESCO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi ameipongeza azma ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulkia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ya kushirikiana…

Soma Zaidi

Dk. Mwinyi amesema serikali ya Awamu ya Nane inaendelea kuchukua juhudi za kufufua uchumi hatua kwa hatua.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Nane inaendelea kuchukua juhudi za kufufua uchumi hatua kwa hatua ambapo tayari…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi (wafungwa) Arobaini na Tisa (49)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi (wafungwa) Arobaini na Tisa (49) waliokuwa wakitumikia Vyuo vya Mafunzo vya Unguja na…

Soma Zaidi

Alhaj Dk.Hussein Mwinyi amewataka wananchi kuiunga mkono Serikali ya Umoja wa Kitaifa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kuiunga mkono Serikali ya Umoja wa Kitaifa ili iwaletee maendeleo.Alhaj Dk. Hussein aliyasema…

Soma Zaidi

Dk.Hussein Mwinyi ameupongeza uongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies kwa kuendelea kuhubiri amani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uongozi wa Kanisa la ‘Tanzania Assemblies of God’ (TAG) kwa kuendelea kuhubiri amani na kuliombea…

Soma Zaidi