DK.SHEIN AMETEMBELEA ENEO LINALOTARAJIWA KUJENGWA JENGO LA UCHUNGUZI WA MARADHI MAKUU.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kuacha ukaidi na kufuata kikamilifu maelekezo ya Serikali, ikiwa ni hatua za kuunga mkono juhudi…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza  na Balozi wa Mdogo mpya wa  India anaefanyia kazi zake Zanzibar Bw.Bhagwant Singh wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo

DK.SHEIN AMEKUTANA NA BALOZI MDOGO WA INDIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa hatua za India za kuendelea kuiunga mkono Zanzibar zina imarisha uhusiano na ushirikiano wa kihistoria…

Soma Zaidi

DK. SHEIN AMEKUTANA NA WASANII WA ZANZIBAR.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuchukua hatua za kuimarisha sanaa na kuendeleza utamaduni kwa kuwaendeleza wasanii kwa kuwaongezea taaluma ya kuzifanikisha shughuli zao.

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA TAASISI YA MWANAHARAKATI BIBI SITI BINT SAAD.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameitaka Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti bint Saad kumtangaza mwanaharakati huyo pamoja na kuzitangaza kazi zake…

Soma Zaidi

Dk.Shein amezungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe:Simbachawene.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza haja kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuendelea kusimamia amani na usalama wa wananchi pamoja na mali…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati akilifungua Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar

JUKWAA LA KUMI LA BIASHARA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya awamu ya saba imejitayarisha kikamilifu kufanikisha dhana ya uchumi wa Bahari, ikiwa ni utekelezaji…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozo wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Sahabi Isa Gada akiwa na  Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Nchini Nigeria

DK.SHEIN AMEWAKARIBISHA WAWEKEZAJI NA WAFANYABIASHARA WA NIGERIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara kutoka Nigeria kuja kuekeza Zanzibar katika sekta yoyote wanayoitaka.

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua kikao cha Baraza la Biashara Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

MKUTANO WA BARAZA LA TATU LA BIASHARA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameitaka Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kuhakikisha inagawa miche ya Mikarafuu iliyokomaa ili kuepuka…

Soma Zaidi