Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kujenga soko kubwa la kisasa katika eneo la Kinyasini

Mgombea wa Kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kujenga soko kubwa la…

Soma Zaidi

Rais Mwinyi amejumuika na Wananchi katika Mazishi ya Sheikh Omar Bin Ali Qullaten

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na mamia ya wananchi katika mazishi ya marehemu Sheikh Omar Bin Ali Qullaten, aliyefariki dunia…

Soma Zaidi

Dkt Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuweka mkazo zaidi kuwasaidia Wakulima ili waweze kunufaika na Kuendesha Kilimo chenye tija.

Mgombea wa kiti cha Rais wa Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuweka mkazo zaidi kuwasaidia Wakulima…

Soma Zaidi