Maafisa na Maaskari wa vikosi vya ulinzi wameshiriki katika chakula cha mchana

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameungana na maafisa na askari wa vikosi vya Ulinzi na Usalama wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali…

Soma Zaidi

Kilele cha Maadhimisho ya wiki ya uwezeshaji kiuchumi Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa juhudi zinazochukuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia…

Soma Zaidi

Marekani imevutiwa na mafanikio yaliopatikana katika miradi inayoiendesha hapa Zanziba

Marekani imeeleza kuvutiwa kwake na mafanikio yaliopatikana katika miradi inayoiendesha hapa Zanzibar na kuahidi kuunga mkono miradi mengine ikiwemo miradi mipya ya Changamoto ya Milenia (MCC)…

Soma Zaidi

Dk.Shein amefunga mkutano wa saba wa Baraza la Biashara Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amefunga mkutano wa saba wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) na kusisitiza kuwa ipo haja ya kuungwa mkono kwa sekta…

Soma Zaidi

Serikali inaendelea kujenga mazingira mazuri kuvifufua na kuvikuza viwanda vidogo vidogo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali inaendelea kujenga mazingira mazuri yatakayopelekea kuvifufua na kuvikuza viwanda hasa viwanda…

Soma Zaidi

Dk.Shein ahuzuria taarabu rasmin Bwawani

Kikundi cha Taifa cha Taarab cha Zanzibar kilitia fora kwa kutoa burdani ya aina yake ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za sherehe za kutimiza miaka 49.; ya Mapinduzi ya Zanzibar, kutokana na…

Soma Zaidi

Matukio mbali mbali ya Sherehe ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya miaka 49

Matukio mbali mbali yaliyotokea uwanja wa Amani katika Maazimisho ya Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Soma Zaidi

Maazimisho ya Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein,katika maadhimisho ya sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,tarehe 12 januari, 2013

Soma Zaidi