Dkt. Mwinyi ametoa Wito kwa Wazanzibari kuepuka Siasa za Kikanda, kidini , Ubaguzi na Mifarakano ili Nchi ipate Maendeleo zaidi.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ametoa Wito kwa Wazanzibari kuepuka Siasa za Kikanda, kidini , Ubaguzi na Mifarakano ili Nchi ipate Maendeleo…
Soma Zaidi