Zanzibar imepiga hatua kubwa katika kulinda haki za Wanawake

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa katika kulinda haki za wanawake kwa kuwa na sera na sheria bora zinazohakikisha…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (PhD Honoris Causa) ya Uchumi)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (PhD Honoris Causa) ya Uchumi iliyotolewa na Chuo Kikuu cha Zanzibar…

Soma Zaidi

Dk. Mwinyi amekutana na Wanafunzi watakaoitembelea NASA, Marekani na kuhudhuria Hackathon, Oman.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za kuwaandaa vijana wengi zaidi wa Zanzibar kuwa wataalamu…

Soma Zaidi

Rais Mwinyi ameishukuru Serikali ya China kwa Ushirikiano katika Sekta ya Afya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameshukuru Serikali ya China kwa ushirikiano mkubwa katika sekta mbalimbali, hususan Sekta ya Afya.Dkt. Mwinyi…

Soma Zaidi

Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewahimiza wawekezaji wazalendo kuchangamkia fursa za uwekezaji zilizopo katika sekta ya utalii hapa nchin

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewahimiza wawekezaji wazalendo kuchangamkia fursa za uwekezaji zilizopo katika sekta ya utalii hapa nchini.Rais…

Soma Zaidi