Habari

UNIDO kuiunga mkono Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza haja kwa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) kuiunga mkono Zanzibar…

Soma Zaidi

Dk.Shein ameipongeza Kampuni ya Kimataifa ya Mitandao ya Kisasa ya Mawasiliano ya ZTE.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Kampuni ya Kimataifa ya Mitandao ya Kisasa ya Mawasiliano ya ZTE ya China kwa kuunga mkono azma ya Serikali…

Soma Zaidi

Zanzibar bila ya vitendo vya udhalilishaji wa wanawake na watoto inawezekana.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein amesema kuwa Zanzibar bila ya vitendo vya udhalilishaji wa wanawake na watoto inawezekana iwapo kutakuwa na ushirikiano katika kuvipiga vita vitendo…

Soma Zaidi

Zanzibar itaendeleza uhusiano na ushirikiano wa kihistoria uliopo kati yake na visiwa vya Comoro

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa Zanzibar itaendeleza uhusiano na ushirikiano wa kihistoria uliopo kati yake na visiwa vya Comoro hasa…

Soma Zaidi

Dk.Shein amewaapisha viongozi aliowateua.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi aliowateua hapo jana kushika nyadhifa mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.Hafla…

Soma Zaidi

Uteuzi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mapinduzi kwa kuongeza Wizara moja zaidi, na kuwabadilisha…

Soma Zaidi

Dk.Shein amekutana na Uongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na uongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kusisitiza haja ya kuendeleza umoja na mashirikiano yaliopo…

Soma Zaidi

Dk.Shein ameipongeza Serikali ya Nigeria kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Serikali ya Nigeria kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya elimu na kueleza haja…

Soma Zaidi