Dkt.Mwinyi ametoa Mkono wa Eid kwa Mashekh pamoja na Wananchi waliofika Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na viongozi wa dini na masheikh waliofika Ikulu leo, tarehe 21 Machi 2026, mara baada ya Sala…

Soma Zaidi

Dkt.Mwinyi amesema Uongozi na udhamini bora vitabadilisha michezo Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali imewekeza fedha nyingi katika kuimarisha miundombinu ya viwanja vya michezo na akademia…

Soma Zaidi

Drk.Mwinyi amesema Watanzania wataendelea kumuenzi hayati Magufuli.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Watanzania wataendelea kumkumbuka na kumuenzi Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa mchango wake…

Soma Zaidi

Rais Dkt.Mwinyi amesema Amani ya nchi iendelee kudumishwa baada ya Uchaguzi Mkuu.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema nchi inaendelea kuwa katika hali ya amani…

Soma Zaidi