Rais Dkt. Mwinyi ameipongeza Hospital ya Benjamini Mkapa kwa mageuzi ya huduma za Kibingwa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma kwa mageuzi na mafanikio makubwa katika utoaji wa huduma…

Soma Zaidi

Rais Dkt. Mwinyi amesema mashindano ya Quraan yameiweka Tanzania kwenye ramani ya Kimataifa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Mashindano Makubwa ya Kimataifa ya Quraan Tukufu kwa mabara yote duniani yameendelea kuwa chachu…

Soma Zaidi

Dkt.Mwinyi amewaalika Wawekezaji wa Ufaransa kuwekeza Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameyakari bisha makampuni na wawekezaji kutoka Jamhuri ya Ufaransa kuja kuwekeza Zanzibar, hususan katika…

Soma Zaidi

Alhaj Dkt. Mwinyi ameendelea kuwahimiza waumini wa dini ya Kiislamu wenye uwezo kuwasaidia watu wasio na uwezo, hususan katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameendelea kuwahimiza waumini wa dini ya Kiislamu wenye uwezo kuwasaidia watu wasio na uwezo, hususan katika…

Soma Zaidi

Rais Dkt.Mwinyi ameshiriki maziko ya Mama mzazi wa RC.Cassian Nyimbo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na viongozi, wanafamilia na wananchi mbalimbali katika maziko ya Marehemu Theodosia Sylvester Mapunda…

Soma Zaidi