Habari

Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema Peponi Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akijumuika na Viongizi na Waislamu katika kumswalia aliyekuwa Mwenyekiti wa…

Soma Zaidi

Dhamira yetu kuona watumishi wanapata maslahi bora kumudu gharama za maisha

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema dhamira ya Serikali ni kuona watumishi wake wanapata maslahi mazuri zaidi ili kumudu gharama za maisha.Hata…

Soma Zaidi

Wananchi walioathirika na mvua za masika wamehakikishiwa hakuna atakae kaa na njaa .

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar itahakikisha inawapelekea huduma zote muhimu wananchi waliaothirika na mvua za masika na hakuna hata mwananchi mmoja miongoni mwao atakae kaa na njaa kwa kukosa…

Soma Zaidi

DK.Shein awaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu ambao aliwateua hapo jana.Katika sherehe hiyo iliyofanyika…

Soma Zaidi

Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Manaibu na Makatibu Wakuu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:

Soma Zaidi

Tume ya Mipango ina jukumu kubwa katika kufikia lengo na dhamira ya Serikali,

WAZIRI wa Fedha na Mipango Mhe. Khalid Salum Mohammed amesema kuwa Tume ya Mipango ina jukumu kubwa katika kufikia lengo na dhamira ya Serikali katika kipindi hiki cha pili cha Awamu ya Saba…

Soma Zaidi

Mhe. Gavu ameeleza haja kwa viongozi na wafanyakazi wa Wizara kuendeleza mashirikiano ya pamoja.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Haji Ussi Gavu ameeleza haja kwa viongozi na wafanyakazi wa Wizara hiyo kuendeleza mashirikiano ya pamoja katika utendaji…

Soma Zaidi

Kikao cha kwanza cha Baraza la Mapinduzi (BLM) mara baada ya kuwaapisha Viongozi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiongoza kikao kilichofanyika kiliwajumuisha Mawaziri pamoja na Naibu Mawaziri wote wa wizara 13 katika ukumbi wa Baraza…

Soma Zaidi