Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kama ifuatavyo:

Soma Zaidi

Wazazi ungeni mkono jitihada za Serikali kuimarisha michezo kwa Vijana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amezindua mashindano ya Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar (ZAHILFE) na kusisisitiza dhamira…

Soma Zaidi

Mheshimiwa Issa Haji Ussi Gavu, ametuma salamu za rambi rambi kufatia kifo cha Balozi mdogo wa Oman

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe. Issa Haji Ussi Gavu, amemtumia salamu za rambi rambi kwa Waziri anayeshughulikia Mambo ya Nje wa Oman Mhe. Yusuf bin Alawi…

Soma Zaidi

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ ameapishwa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amemuapisha Radhia Rashid Haroub kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.

Soma Zaidi

Japan kuendelea kuiiunga mkono Tanzania katika kuimarisha miradi mbali mbali ya maendeleo,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja ya kuimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Japan hasa kwa kutambua hatua…

Soma Zaidi

Jaji Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akimuapisha Dk.Shein kuwa mjumbe wa Baraza la mawaziri

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiapishwa na jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mohammed Chande Othman kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Jamuhuri…

Soma Zaidi

Wafanyakazi msigeuze sehemu za kazi kuwa majukwaa ya siasa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wafanyakazi nchini kutozigeuza sehemu za kazi kuwa majukwaa ya kisiasa badala yake kufanya kazi kwa bidii…

Soma Zaidi