Habari

Dk.Shein amewaapisha Mawaziri na Manaibu Mawaziri wa Wizara mbali mbali

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha Mawaziri na Manaibu Mawaziri wa Wizara 13 za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Mawaziri…

Soma Zaidi

Dkt.Shein ameunda Wizara 13 na kuwateua Mawaziri, Manaibu na Mawaziri Wasiokuwa na Wizara Maalum.

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Vifungu 42, 43, 44 na 47 vya Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein ameunda…

Soma Zaidi

Dua na Hitma ya kumuombea marehemu Karume

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amewaongoza viongozi na wananchi mbali mbali katika kisomo maalum cha kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar…

Soma Zaidi

Dk.Shein azindua Baraza la Wawakilishi la Tisa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amelizindua Baraza la Tisa la Wawakilishi na kubainisha kuwa Serikali itapanga vipaumbele vyake kulingana na uwezo…

Soma Zaidi

Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amewateua Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu 66 cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amewateua wafuatao kuwa…

Soma Zaidi

DK. Shein amuapisha Makamu wa Pili wa Rais.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amemuapisha Balozi Seif Ali Iddi kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Dk. Shein alimteua Balozi Seif Ali Iddi…

Soma Zaidi

Dkt.Shein amemteua Mhe.Balozi Seif Ali Iddi kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt Ali Mohamed Shein kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu 39(2) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984 amemteua Mhe. Balozi…

Soma Zaidi

SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China imemtumia salamu za pongezi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein .

Kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Salamu hizo za pongezi zilitumwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Li Yuanchao kwa niaba ya nchi yake, zilipongeza…

Soma Zaidi