Amani ya nchi ndio hoja ya kwanza ya Msingi ya Chama Cha Mapinduzi.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Amani ya nchi ndio hoja ya…

Soma Zaidi

Dkt. Mwinyi amesema tutaendelea kuimarisha Miundombinu na Ustawi wa Wananchi Unguja na Pemba

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali…

Soma Zaidi

Rais Mwinyi Aahidi Kuendelea Kuwajengea Uwezo Walimu Na Kuiimarisha Sekta Ya Elimu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuimarisha sekta ya elimu, maslahi na mazingira ya kazi ya walimu ili kuwaongezea…

Soma Zaidi

Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka viongozi wa siasa, viongozi wa dini pamoja na waandishi wa habari kuhakikisha wanahimiza amani na utulivu wakati Taifa linaelekea katika Uchaguzi Mkuu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka viongozi wa siasa, viongozi wa dini pamoja na waandishi wa habari kuhakikisha wanahimiza amani…

Soma Zaidi