Habari

Tuko tayari kushirikiana na Italia katika nyanja za elimu na hifadhi ya sehemu za historia.

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema iko tayari kushirikiana na Serikali ya Italia katika nyanja za elimu na hifadhi ya sehemu za historia kama ilivyo katika sekta nyingine.Hayo yameelezwa…

Soma Zaidi

Dk.Shein apokea Kifimbo cha Malkia.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa wazanzibari na watanzania kwa jumla kutumia fursa ujio wa Kifimbo cha Malkia kutafakari namna bora…

Soma Zaidi

Dk. Shein amewaapisha watendaji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewaapisha Nd. Ahmed Kassim Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais na Bibi Rukia Mohamed Issa…

Soma Zaidi

KCC ya Uganda yakabithiwa Kombe la Mapinduzi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amekabidhi kombe la Mapinduzi kwa timu ya KCC ya Uganda baada kuibuka kidedea katika mchezo wa fainali wa kuwania…

Soma Zaidi

Dk.Shein amekutana na mjumbe Maalum wa Rais wa China.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais Xi Jinping wa Jamhuri ya Watu wa China.Mjumbe huyo Maalum…

Soma Zaidi

Hutuba ya Rais wa Zanzibar na MBLM,Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,katika kilele cha sherehe za Mapinduzi

Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, uwanja wa Amaan tarehe 12 Januari,…

Soma Zaidi

Dk.Shein akutana na Rais wa Muungano wa Comoro

Zanzibar na Visiwa vya Comoro zimesema zina kila sababu ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati yao kwa faida ya wananchi na Serikali za nchi mbili hizo.Hayo yamejitokeza wakati wa mazungumzo…

Soma Zaidi

Dk.Shein atunuku Nishani za Mapinduzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemtunuku Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Nishani ya Mapinduzi ya Kiongozi Mkuu na Muasisi…

Soma Zaidi