Dk.Shein ametuma salamu za pongezi kufuatia ushindi wa Rais Barack Obama wa Marekani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein ametuma salamu za pongezi kufuatia ushindi wa Rais Barack Obama wa Marekani katika Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo…
Soma Zaidi