Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka watendaji wa Serikali kuwa mstari wa mbele katika utoaji wa huduma pamoja na misaada ili matatizo yanayowakabili Wawekezaji yanapungua.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka watendaji wa Serikali kuwa mstari wa mbele katika utoaji wa huduma pamoja na misaada ili kuhakikisha matatizo…
Soma Zaidi