Dk.Hussein Ali Mwinyi,amesema Serikali inatambua kuwepo kwa mgogoro wa ardhi unaowahusisha wananchi wa shehiya ya Ubago dhidi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania,kambi ya Ubago.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inatambua kuwepo kwa mgogoro wa ardhi unaowahusisha wananchi wa shehiya ya Ubago dhidi ya Jeshi…
Soma Zaidi