Alhaj Dk.Mwinyi amesema Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaungana na Mataifa duniani katika kukuza na kuimarisha mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qurani.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa inapendeza kuona Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sasa inaungana na Mataifa mengine duniani katika…
Soma Zaidi