Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba mwezi mtukufu wa Ramadhani ni mwezi wa kuhurumiana

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba mwezi mtukufu wa Ramadhani ni mwezi wa kuhurumiana ikiwa ni pamoja na kuwasaidia wanyonge wakiwemo…

Soma Zaidi

Dk.Mwinyi ameupongeza uhusiano na ushirikiano mzuri uliopo kati ya Zanzibar na Oman

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uhusiano na ushirikiano mzuri uliopo kati ya Zanzibar na Oman na kueleza haja ya kuongeza ushirikiano…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea ujenzi wa jengo jipya la Abira (Terminal III) Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema ujenzi wa jengo jipya la Abira (Terminal III), katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume…

Soma Zaidi

Dk.Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Makamanda watatu wa Idara Maalum za SMZ

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Makamanda watatu wa Idara Maalum za SMZ kufuatia kuwepo kwa wafanyakazi hewa na kusababisha upotevu…

Soma Zaidi