Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika picha na Uongozi wa Benki ya NBC mara baada ya Futari waliyoiandaa katika  Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.

DK. SHEIN AMEHUDHURIA FUTARI YA NBC KATIKA HOTELI YA ZANZIBAR BEACH RESORT

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa pongezi kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na wananchi wake kwa imani yao wanayotoa kwa taasisi za fedha na hasa benki hiyo ya (NBC) hatua ambayo…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Viongozi mbali mbali na Waislamu wakichukua chakula cha Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) jana katika Hotel Verde iliyopo Mtoni Wilaya ya Mji

Dk. Shein ameongoza Futari Iliyoanzdaliwa na PBZ

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ameongoza futari maalum iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) na kupongeza juhudi zinazoendelea kuchukuliwa…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia  anayeshuhulikia Mambo ya Kiislamu,Misaada, Daawa,na Miongozo Mhe,Dk.Sheikh Saleh bin Abdul Aziz bin Muhammad bin Ibrahim

Dk.Shein amekutana na ujumbe kutoka Saudi Arabia.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa ziara ya Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia anayeshughulikia Mambo ya Kiislamu, Daawa, Misaada na Miongozo,…

Soma Zaidi
Mwenyekiti wa CCM Taifa pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt.John Pombe  Magufuli alipokuwa akiteta jambo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa Mkutano wa

MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA (NEC)

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa,na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amefungua mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) na kuwapongeza wajumbe…

Soma Zaidi

Dk.Shein amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Canada

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza haja kwa Ubalozi wa Tanzania nchini Canada ambao pia, unaiwakilisha Tanzania nchini Cuba kuitilia mkazo Sera…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa risala ya kuukaribisha Mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi wa zanzibar na tanzania kwa ujumla katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar

Risala ya Mwezi mtukufu wa Ramadhan.

RISALA YA RAMADHANI YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHESHIMIWA DK. ALI MOHAMED SHEIN, YA KUUKARIBISHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI KWA MWAKA 1439 HIJRIYA, 2018 MILADIA.

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein  akifungua pazia kuashiria kulifungua Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani hafla iliyofanyika katika Wilaya ya Dimani Kichama.

Dk.Shein Amezindua Tawi la CCM Fuoni Michenzani

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein amewataka wanaCCM katika Tawi la Fuoni Michenzani kutekeleza dhamira ya Chama chao katika suala zima la kuimarisha…

Soma Zaidi

MKUTANO WA MABALOZI WA WILAYA YA KASKAZINI ‘B’ UNGUJA

MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alikutana na Mabalozi wa Wilaya ya Kaskazini Kaskazini B katika ukumbi wa CCM…

Soma Zaidi