Toggle navigation
Leave this field blank
Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Zanzibar
Mwanzo
Ofisi ya Rais
Kwa Ufupi
Rais
Marais wa Zamani
Utawala
Baraza la Mapinduzi
Uongozi Ofisi ya Rais
Habari
Habari na Matukio
Picha
Video
Video 2
Machapisho
Hotuba
Mipango ya Utekelezaji
Machapisho
Ripoti
Bajeti
Blog
Mawasiliano
Ikulu
State House Zanzibar
State House Zanzibar
Habari
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi pamoja na wafadhili wakati wa Ufunguzi wa Kituo cha Afya Jengo la Huduma za Dharura na Maabara Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo
Habari
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtekinolojia Maabara II Ndg Amos Asimbile Lwinga wakati alipotembelea moja ya chumba cha uchunguzi katika Jengo la Huduma za Dharura na Maabara mara baada ya kulifingua rasmi leo Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo (kulia) Mkuu wa Kituo Dr.Kurwa Bakari Mohamed.
Habari
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Mapinduzi Cup 2024 Nahodha wa Timu ya Mlandege Abdallah Said Ali, baada kuifunga Timu ya Simba bao 1-0, katika mchezo wa Fainali uliofanyaki katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar
Habari
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ukiongozwa na Mjumbe wa Bodi wa Benki hiyo Dr.Issack Allan (kulia kwa Rais) akimuwakilisha Mwenyeki Bodi ya Benki hiyo na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Ndg. Juma Malik Akili, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kijitambulisha 13-1-2024
Habari
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Jacob John Mkunda alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza kwa Maadhimisho ya Kilele cha Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar , zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar 12-1-2024, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais
Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Sema na Rais
Habari na Matukio
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi pamoja na wafadhili wakati wa Ufunguzi wa Kituo cha Afya Jengo la Hu
17 Jan 2024
by Ikulu Staff
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtekinolojia Maabara II Ndg Amos Asimbile Lwinga wakati
17 Jan 2024
by Ikulu Staff
UFUNGUZI WA JENGO LA HUDUMA ZA DHARURA MAKUNDUCHI
17 Jan 2024
by Ikulu Staff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Mapinduzi Cup 2024 Nahodha wa Timu ya Mlandege Abdallah Said Ali, baada kui
13 Jan 2024
by Ikulu Staff
More Habari na Matukio
Video
Facebook
Machapisho
HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHESHIMIWA DK. HUSSEIN ALI MWINYI KATIKA UFUNGUZI WA JENGO LA HUDUMA ZA MATIBABU YA DHARURA NA MAABARA KWENYE KITUO CHA AFYA MAKUNDUCHI
17 Jan 2024
HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHESHIMIWA DK. HUSSEIN ALI MWINYI, KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
11 Jan 2024
RISALA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHESHIMIWA DK HUSSEIN ALI MWINYI YA KUUAGA MWAKA 2023 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2024
31 Dec 2023
HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHESHIMIWA DK. HUSSEIN ALI MWINYI KATIKA HAFLA YA KILELE CHA SHEREHE ZA MWEZI WA SHUKURANI NA FURAHA KWA WALIPA KODI KATIKA UKUMBI WA HO
30 Dec 2023
English
Swahili