Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza wananchi kuendelea kuhubiri amani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza wananchi kuendelea kuhubiri amani.Alhaj Dk. Mwinyi aliyasema hayo leo katika salamu zake alizozitoa…

Soma Zaidi

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi ametoa shukurani kwa Taasisi ya Ahmad Mohamed Al Falasi kwa misaada waliyoitoa kwa ajili ya wananchi wenye mahitaji maalum.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi ametoa shukurani kwa Taasisi ya Ahmad Mohamed Al Falasi kwa misaada waliyoitoa kwa ajili ya wananchi wenye mahitaji maalum katika kipindi hichi cha…

Soma Zaidi