SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, itaendelea kukuza mazingira rafiki ya Biashara na Uwekezaji na kuweka mkazo wa kurahisisha michakato,kuimarisha mifumo ya udhibiti na kutoa motisha kwa Wawekezaji.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema itaendelea kukuza mazingira rafiki ya biashara na uwekezaji pamoja na kuweka mkazo wa kurahisisha michakato, kuimarisha mifumo ya udhibiti na kutoa…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiagiza Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kusimamia hifadhi za barabara na kuwazuia wananchi kutojenga na kufanya biashara maeneo hayo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiagiza Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kusimamia hifadhi za barabara na kuwazuia wananchi kutojenga na…

Soma Zaidi