Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema mikutano ya Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika ni majukwaa muhimu katika kuwaunganisha wajumbe na kupata fursa ya kujadili masuala muhimu ya kisheria

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema mikutano ya Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika ni majukwaa muhimu katika kuwaunganisha wajumbe na kupata…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuhamasisha kilimo pamoja na kuunga mkono sekta ya Viwanda kwa kutambua kuwa ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa nchi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuhamasisha kilimo pamoja na kuunga mkono sekta ya Viwanda kwa kutambua kuwa ina mchango…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uzinduzi wa Minara ya mawasliano ya simu kwa kiasi kikubwa itaiwezesha Zanzibar kuingia katika Teknolojia ya Mawasiliano ya TEHAMA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uzinduzi wa Minara ya mawasliano ya simu kwa kiasi kikubwa itaiwezesha Zanzibar kuingia katika Teknolojia…

Read More

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariamu Mwinyi ameishukuru Jumuiya Health Rockfeller Foundation kutoka nchini Marekani kwa azma yake za kusaidia juhudi za Serikali

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariamu Mwinyi ameishukuru Jumuiya Health Rockfeller Foundation kutoka nchini Marekani kwa azma yake za kusaidia juhudi za Serikali…

Read More

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi katika mazungumzo mafupi yaliofanyika Ikulu…

Read More