Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuongeza Bajeti ya Wizara ya Afya kadri hali ya Uchumi itakavyoimarika, ili kuhakikisha inatoa huduma bora za Afya nchini kote.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuongeza Bajeti ya Wizara ya Afya kadri hali ya Uchumi itakavyoimarika, ili kuhakikisha…
Read More