RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mmoja wa Wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Lumumba ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Ndg.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mmoja wa Wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Lumumba ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Ndg. Ibrahim Ali Suleiman,akiwa katika utaratibu wake kuwatembelea wagongwa na kuwajulia halo zao leo 19-9-2024