Ikulu Blog

Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar Tunguu.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja (kutoka kulia)Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla, Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Mgeni Hassan Juma na Waziri Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais,pia Kaimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Hamza Hassan Juma
  • Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Tunzo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla (kushoto) katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akionesha kitabu cha Mahkama mara baada ya kukizindua leo katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja(kulia) Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mhe. Prof.Ibrahim Khamis Juma (kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla
  • Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mhe.Prof.Ibrahim Khamis Juma alipokuwa akitoa salamu zake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hypo pichani) alikuwa Mgeni rasmi kaaika hafla hiyo
  • Baadhi ya Viongozi na Wananchi mali mali walioalikwa katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla na Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Khamis Juma wakifuatana pamoja na Majaji Wakuu wa Mahkama kuu Zanzibar wakiingia katika uwanja wa sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika Leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid (kulia)wakati alipowasili katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja

Mkutano mkuu wa Nane wa Chama cha Walimu Zanziar (Zatu)

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa (kushoto) Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa (wa pili kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Matar Zahor Masoud (kulia) na Rais wa Chama cha Walimu Zanzibar Maalim Seif Hamid Seif (wa pili kulia) kwa pamoja wakinyanyua mikono wakati waimbo wa Mshikamano katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nane wa Chama cha Mwalimu Zanziar ZATU uliofanyika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
  • Wakuu wa vyombo vya ulinzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano hur uliofanyila leo katika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Chama cha Walimu Zanziar (ZATU)uliofanyila leo Katixa ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt.Mohamed Said Dimwa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa (kushoto) Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa (wa pili kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Matar Zahor Masoud (kulia) na Rais wa Chama cha Walimu Zanzibar Maalim Seif Hamid Seif (wa pili kulia) kwa pamoja wakinyanyua mikono wakati waimbo wa Mshikamano katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nane wa Chama cha Mwalimu Zanziar ZATU uliofanyika leo ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Chama cha Walimu Zanziar (ZATU)uliofanyila leo katika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
  • Wajume wa Mkutano Mkuu wa nane wa Chama cha Walimu Zanziar (ZATU)wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano hur uliofanyila leo katika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Chama cha Walimu Zanziar (ZATU)uliofanyila leo Katixa ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt.Mohamed Said Dimwa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea maduka Kisiwani Pemba

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiangalia Mchele katika duka la Bw. Ali Hamad (katikati) alipofanya ziara maalum ya kutembea maduka ya Machomanne Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo pamoja na bidhaa mbali mbali za Chakula, sambamba na Agizo lililotolewa na Serikali kuwataka Wafanyabiashara kupunguza bei ili kuwapungumzia Mzigo Wananchi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Mtaa wa Machomanne, Chake chake mara baada ya kuangalia bei za Bidhaa ya Mchele katika maduka mbali mbali katika mtaa huo alipofanya ziara maalum ya kutembea maduka katika Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika duka la Bw. Ali Hamad (katikati) kuangalia bei za bidhaa mbali mbali za Chakula wakati alipotembela Maduka ya Macho manne Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo alipofanya ziara maalum.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza na Bw.Suleiman Ali Abdalla (kulia) Mfanyabiashara wa Duka la Chakula na bidhaa mbali mbali kujua bei halisi hasa Chakula Kikuu kwa wananchi wakati alipotembela Soko Kuu la Chake chake Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara maalum.

Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi ametembelea Maonesho ya Wiki ya Sheria Zanzibar Viwanja vya Mapinduzi Square Michezani.

  • MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa vitabu vya aina mbalimbali vinavozungumzia Haki za Binadamu na Mratibu Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania Bw. Onesmo, wakati akitembelea maonesho ya uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembe kisonge Wilaya ya Mjini Unguja
  • MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Mwanafunzi wa Zanzibar School of Heath.Hassan Hussein Hassan, wakati akitembelea maonesho ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwake) Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Juma na (kulia kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib
  • MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Bi.Mwanaid Mohammed Ali, wakati akitembelea maonesho ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja leo 12-2-2023, na (kushoto kwake) Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Juma na (kulia kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah.
  • MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Bi.Mwanaid Mohammed Ali, wakati akitembelea maonesho ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja 12-2-2023, na (kushoto kwake) Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Juma na (kulia kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah.

Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi ameongoza Matembezi ya Marathon ya Uzinduzi wa wiki ya Sheria Zanzibar.

  • MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Mapinduzi Square katika hafla ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, iliyoendana na Matembezi ya Marathon ya Kilomita 10 na 5, yaliyoazia katika viwanja vya Forodhani Mji Mkongwe Zanzibar na kumalizika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja
  • MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimvisha nishani mshindi wa kwanza wa Marathon ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar ya Kilomita 10 Wanaume Aloice.S.Simbu kutoka JKU,kwa kumaliza mbio hizo kwa muda wa 29:36.69
  • MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi zwadi ya fedha na nishani mshindi wa kwanza wa Marathon ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar ya Kilomita 10 Wanawake Velenti M.Lazaro kutoka JWTZ
  • MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Mapinduzi Square katika hafla ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, iliyoendana na Matembezi ya Marathon ya Kilomita 10 na 5, yaliyoazia katika viwanja vya Forodhani Mji Mkongwe Zanzibar na kumalizika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja
  • WASHIRIKI wa Matembezi ya Marathon Kilomita Tano na Kumi ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar wakishiriki katika mazoezi ya viungo ya pamoja katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja