Rais wa Zanzbar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort & Spa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wafanyakazi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar, baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa hoteli hiyo iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja leo 16-8-2025 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hamida Mussa Khamis na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi.Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar , kwa ajili ya ufunguzi wa hoteli hiyo iliyoko katika Mkoa wa Kusini Unguja katika Kikjiji cha Kikungwi, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 16-8-2025 katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 16-8-2025 katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
WANANCHI wa Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua hoteli hiyo iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Unguja ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
WANANCHI wa Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua hoteli hiyo iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Unguja ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 16-8-2025 katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
VIJANA wa Kikundi cha uhamasishaji wakishangilia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, wakati wa ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025 katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua hoteli hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea Hoteli ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, baada ya kuifungua leo 16-8-2025, iliyoko katika kijiji cha kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Hoteli ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, baada ya kuifungua leo 16-8-2025, iliyoko katika kijiji cha kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja
WANANCHI wa Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua hoteli hiyo iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Unguja ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar, iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Hoteli ya Kitali ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar, iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Hoteli ya Kitali ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025.