Ikulu Blog

Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Salum Turky Zanzibar.

  • wanafunzi waliofika katika Chumba cha maktaba kujisomea vitabu mbali mbali kama walivyokutwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Ujumbe wake (hawapo pichani) wakati alipotembelea baada ya kuifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwiyi,(kushoto) akiwepo Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Muhamed Mussa na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Ndg.  Khamis Abdulla Said wakati mwanafunzi Abdul Aziz Sleiman Ali wa darasa la 7 alipowa karibisha katika Chumba cha Maktaba  wakati alipotembelea baada ya kuifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwiyi,(katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Viongozi mwengine wakipata maelezo  wakati alipotembelea katika chumba cha Somo la Tehama wakati alipoifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran katika   sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwiyi, Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia) na Viongozi mwengine akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi Khalfani Abdalla  Saidi 7 wakati alipotembelea katika chumba cha Somo la Sayansi wakati alipoifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran,iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF,hafla iliyofanyika katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,wengine walioshuhudia,Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Muhamed Mussa (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla (wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Maghari Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa (kulia)  06/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Muhamed Mussa kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran,Viongozi wengine wakishuhudia   katika   sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023.
  • Wanafunzi wa Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-BintiAmran wakifurahia ujio Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) waliojipanga wakati wa mapokezi ya alipowasili kuifungua rasmi skuli hiyo katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023

Ufunguzi wa Masjid Salim Sogea Zanzibar.

  • Waumini wa Dini ya KLiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Waumini wa Dini ya KLiislamu wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake mara baada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti Masjid Salim,uliopo Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini alipoufungua rasmi leo,na kuwataka waumini hao kuutumia kwa kutatua changamoto mbali mbali zinazohusu jamii na kutatua migogoro ya kifamilia 06/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake mara baada ya Swala ya Ijumaa katika  Msikiti Masjid Salim, uliopo Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini  alipoufungua rasmi leo, ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walidhuhuria 06/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuufungua  Msikiti wa Ijumaa Masjid Salim,uliopo Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini,ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walidhuhuria katika Ufunguzi huo.
  • Msikiti wa Ijumaa Masjid Salim uliopo Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walishuhudia Ufunguzi huo 06/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika ufunguzi wa Masjid Salim,Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini ,ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walidhuhuria katika Ufunguzi huo 06/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamali Kassim Ali (kushoto) wakifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Masjid Salim, Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini, ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walidhuhuria katika Ufunguzi huo 06/01/2023

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.

Matembezi maalum ya UVCCM kuelekea kilele cha Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  (wa pili kushoto) akimkabidhi Bendera Kiongozi wa Matembezi, Mwenyekiti Mstaafu wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndg.Pandu Salum Sungura, katika uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge, Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,(wa pili kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali (Kawaida) na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg,Rehema Sombi Omar (kushoto) 05/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Vijana wa UVCCM wakibeba Picha za Viongozi wakuu wa Kitaifa,Picha Baba wa Taifa,Mzee Karume,Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi pamoja na Bendera wakati  wa Matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo 05/01/2023.
  • Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotoa hutuba ya uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar 05/01/2023.
  • Baadhi ya Viongozi wa Chama cha mapinduzi wakiwa katika uzinduzi wa  matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) 05/01/2023.
  • Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM wakinyoosha mikono juu kuunga kushangilia na kumkubali Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipotoa hutuba ya uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar 05/01/2023
  • Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali (Kawaida)alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Vijana wa Uvccm Zanzibar na kuzindua matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar yaliyoanzia viwanja vya Mnaranwa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi 05/01/2023.
  • Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipotoa hutuba ya uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar 05/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipozungumza na Vijana wa Uvccm Zanzibar na kuzindua matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar 05/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipotoa hutuba ya uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar (wapili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mlezi wa UVCCM Mama Mariam Mwinyi, (kulia) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali (Kawaida) 05/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi Bendera Msaidizi wa matembezi Merry Daniel Joseph kutoka Mkoa wa Mara katika uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali (Kawaida) 05/01/2023.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amefungua michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa Mchezo wa Netiboli Viwanja vya Gymkhana Unguja.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akipokea maandamano ya Wanamichezo wa mchezo wa Netiboli katika Ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi uliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja leo 04-01-2023, (kushoto kwake) Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar B.Fatma Hamad Rajab na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma.
  • BAADHI ya Wanamichezo wa Timu mbalimbali za Netiboli Unguja wakishiriki katika maandamano ya ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi yanayofanyika katika Uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja 04-01-2023
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akirusha mpira golini kuashiria kuyafungua Mashindano ya Kombe la Mapinduzi katika uwanja wa Gmkhana Wilaya ya Mjini Unguja 04-01-2023, katika mchezo wa ufunguzi   ulizikutanisha Timu za KVZ na Zimamoto na  Timu ya KVZ imeibuka na ushindi wa bao 42-41.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya Zimamoto wakati wa ufunguzi wa Michuano ya Netiboli Kombe Mapinduzi   uliyofanyika  katika uwanja wa Gmkhana Wilaya ya Mjini Unguja 04-01-2023.
  • MCHEZAJI wa Timu ya Zimamoto Pendo Adrian Mpela  akiwa na mpira wakati wa mchezo wao wa Ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi  na Timu ya KVZ,uliofanyika katika uwanja wa Gmykhana, Timu ya KVZ imeshinda mchezo huo kwa bao 44 -41
  • BAADHI ya Wanamichezo wa Timu mbalimbali za Netiboli Unguja wakishiriki katika maandamano ya ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi yanayofanyika katika Uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja 04-01-2023
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akihutubia wakati wa ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mchezo wa Netiboli uliyofanyika katika Uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 04-01-2023