Ikulu Blog

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ofisi ya Tanzania Dkt.Patricia Laverley

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na kuzungumza na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi asaini kitabu cha maombolezi kufuatila kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya watu wa China Jiang Zemin.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ametembelea na kukagua Ujenzi wa Hospitali ya Mkoa ya Lumumba mjini Zanzibar.

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN MWINYI AFUNGUA MSIKITI WA MASJID HUSSEIN GHANA NA KUJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA SALA YA IJUMAA