Ikulu Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.K.Hussein Mwinyi amezungumza na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu Katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika Bw. Marcel Akpovo, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na ujumbe wake,mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 10-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika.Bw. Marcel Akpovo, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika Bw.Marcel Akpovo akiwa na ujumbe wake,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika Bw. Marcel Akpovo, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na ujumbe wake,mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 10-2-2023.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika.Bw. Marcel Akpovo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika.Bw. Marcel Akpovo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-2-2023

Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi amekuatana na Wakala wa uwezeshaji Wananchi.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar chini Mkurugenzi Mtendaji Ndg.Juma Amour (wa nne kushoto) walipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mkugenzi Mtendaji wa Wakala wa Uwezeshaji wananchi Kiuchumi Zanzibar Ndg.Juma Amour (wa pili kulia)akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (hawapo pichani) walipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar chini Mkurugenzi Mtendaji Ndg.Juma Amour (wa tatu kushoto aliokaa) baada ya kujitambulisha leo walipofika Ikulu jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na ujumbe wa Benki ya Dunia Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bw. Nathan Belete, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa ajili ya kumazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 8-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bw. Nathan Belete, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 8-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bw. Nathan Belete.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 8-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Benki ya Dunia ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bw. Nathan Belete (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 8-2-2023.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Uongozi wa Kitaifa wa Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania.Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Msahafu na Amir Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania.Sheikh Tahir Mahmood, uliotafsiriwa kwa Kiswahili na Jumuiya hiyo, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 4-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Amir Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania .Sheikh Tahir Mahmood, baada ya kumalizika kwa maungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 4-2-2023, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Kitaifa wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania ukiongozwa na Amir Mbashiri Mkuu Sheikh. Tahir Mahmood (kulia kwa Rais) na Naib Amir Sheikh. Abdulrahaman Mohammed Ame, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 4-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Naibu Amir wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheikh.Abdulrahaman Mohammed Ame, akiwasilisha maelezo ya kazi zinazofanywa na Jumuiya hiyo, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 4-2-2023 na (kulia kwa Rais) Amir Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheikh.Tahir Mahmood
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Kitaifa wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania ukiongozwa na Amir Mbashiri Mkuu Sheikh. Tahir Mahmood (kulia kwa Rais) na Naib Amir Sheikh. Abdulrahaman Mohammed Ame, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 4-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Amir Mbashiri Mkuu wa Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheikh.Tahir Mahmood, alipofika Ikulu na Uongozi wake wa Kitaifa kwa ajili ya mazungumzo na kuitambulisha Jumuiya yao, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 4-2-2023.

Swala ya Ijumaa Masjid Shifaa Mwembetanga Zanzibar

  • .Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Waumini wakati wa kumalizika kwa ibada ya swala ya Ijumaa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi wa Masjid Shifaa(msikiti maiti) iliyopo Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi, alipowasili leo kushiriki katika Ibada ya Swala ya Ijumaa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Sheikh Abubakar wakati wa kumalizika kwa ibada ya swala ya Ijumaa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiitikia iliyoomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) mara baada ya Swala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiitikia dua iliyoomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa pili kulia) mara baada ya Swala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) iliyopo Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mara baada ya Swala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) iliyopo Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa sita kulia) alipojumuika na Viongozi wa waumini wa Dini ya Kiislamu katika Swala ya Ijumaa iliyoswalishwa na Sheikh Ahmed Mohamed leo katika Masjid Shifaa (msikiti maiti),Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipotoa nasaha zake kwa Viongozi wa waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Swala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) iliyopo Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Viongozi wa waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Swala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) iliyopo Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.