Ikulu Blog

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Mtawala wa Oman Mhe: Sultan Haitham bin Tariq kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Kasr

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameondoka nchini akielekea nchini Oman kwa ziara ya kikazi ya siku nne nchini humo 11-10-2022.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekabidhiwa Ripoti ya kuchambua maoni ya washiriki wa mkutano wa wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya siasa Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameufungua Msikiti wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja na kujumuika katika ibada ya Sala ya Ijumaa.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mkutano wa wadau wa kujadili masuala mahsusi ya Zanzibar yanayohusu Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa.