Ikulu Blog

Mke wa Rais Wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama Mariam Mwinyi ametoa Sadaka ya Futari kwa Wazee,Wajane na wenye hali ngumu Tumbatu.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na msaidizi wa Waziri Mkuu katika masuala ya Biashara Bw. Lord Wanley Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na kikosi kazi cha Rais Samia Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amelifungua Kongamano la Pili la Madaktari na wahudumu wa Afya lililofanyika leo ukumbi wa chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na wananchi wa Chaani Unguja katika sala ya Ijumaa iliyofanyika Msikiti Mweupe.