Rais Wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amemtembelea Muandishi wa habari muandamizi Haji Ramadhan Suweid Hospitali ya mnazi mmoja na Wazee wa CCM Leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Muandishi wa Habari Muandamizi Mstaafu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Kanda ya Zanzibar Ndg.Haji Ramadhan Suweid, alipofika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar jengo la Mapinduzi Mpya kumjulia hali yake leo 13-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika katika kuitikia dua ya kumombea Muandishi wa Habari Muandamizi Mstafu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ( ZBC) na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Kanda ya Zanzibar Ndg.Haji Ramadhan Suweid, ikisomwa na Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume, alipofika Hospitali ya Kuu ya Mnazi Mmoja jengo la Mapinduzi Mpya kumjulia hali yake,13-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali Mzee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Bw. Kombo Mzee Kombo alipofika nyumbani kwake Miembeni Jitini Wilaya ya Mjini Unguja kumjulia hali yake 13-10-2023, ikiwa ni utaratibu aliojiwekea kuwatembelea Wazee
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali Mzee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Bw. Kombo Mzee Kombo alipofika nyumbani kwake Miembeni Jitini Wilaya ya Mjini Unguja kumjulia hali yake leo 13-10-2023, ikiwa ni utaratibu aliojiwekea kuwatembelea Wazee
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia na kuzungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Tawi la Muembeshauri na Balozi No.2 Bi. Hiyari Miraji Othman, alipofika nyumbani kwake muembeshauri Wilaya ya Mjini Unguja leo.13-10-2023, kumjulia hali yake
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi azungumza na Balozi wa Finland nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ikiwa katika akizungumza na mgeni wake Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Ukumbu wa Ikulu 11-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ikiwa katika akizungumza na mgeni wake Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Ukumbu wa ikulu 11-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ikiwa katika akizungumza na mgeni wake Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Ukumbu wa Ikulu 11-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe.Theresa Ztting, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 11-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 11-10-2023
Ujumbe wa Kijeshi kutoka Nchini india
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar, Jenerali Manoj Pande Kiongozi wa Ujumbe wa Kijeshi wa Jeshi la Nchi Kavu kutoka Nchini India walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo na Jenerali Manoj Pande , Kiongozi wa Ujumbe wa Kijeshi wa jeshi la Nchi Kavu kutoka Nchini India walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo baada ya mazungumzo na ujumbe huo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akipokea zawadi ya kutoka kwa Jenerali Manoj Pande Kiongozi wa Ujumbe wa Kijeshi wa Jeshi la Nchi Kavu kutoka Nchini India walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo baada ya mazungumzo na ujumbe huo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Jeshi la Nchi Kavu kutoka nchini India (kulia kwa Rais) wakiongozwa na Jenerali Manoj Pande walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Jeshi la Nchi Kavu kutoka nchini India wakiongozwa na Jenerali Manoj Pande (wa pili kulia) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akiwakaribisha Viongozi wa Ujumbe wa Jeshi la Nchi Kavu la India wakiongozwa na Jenerali Manoj Pande walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Mabalozi wamemuaga Mheshimiwa Rais Dk Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Mabalozi (kulia) walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani walipofika kujitambulisha na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani walipofika kujitambulisha na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar
Baadhi ya Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza nao leo walipofika kujitambulisha na kumuaga Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Balozi Habibu A. Mohamed anaeiwakilisha Tanzania katika Nchi ya Doha,Qatar akiwa ni miongoni mwa Mabalozi walipofika kujitambulisha na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Balozi Hassan Mwamweta anaeiwakilisha Tanzania katika Nchi ya Berlin na Ujerumani akiwa ni miongoni mwa Mabalozi walipofika kujitambulisha na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Balozi Habibu A. Mohamed anaeiwakilisha Tanzania katika Nchi ya Doha,Qatar akiwa ni miongoni mwa Mabalozi walipofika kujitambulisha na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Mkutano wa Kumi (10) wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summiti) katika Ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam.
WASHIRIKI wa Mkutano wa Kumi (10) wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summit) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu leo 3-10-2023, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati akiufungua Mkutano wa Kumi (10) wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summit) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan,uliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu leo 3-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati akiufungua Mkutano wa Kumi (10) wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summit) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan,uliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu leo 3-10-2023
WASANII wa Kikundi cha Ngoma kutoka Kijiji cha Makumbusho Jijini Dar es Salaamu wakitowa burudani wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kumi (10) wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summiti) uliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu leo 3-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkuu wa Mipango wa Taasisi ya Girl Effect Tanzania.Bi.Rita Moses Mbeba, wakati akitembelea banda hilo katika maonesho ya Taasisi mbalimbali za Afya Tanzania, kabla ya kufungua Mkutano wa Kumi (10) wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summit) uliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu leo 3-10-2023. na (Kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Tanzania Mhe. Ummy Mwalimu, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.
WASHIRIKI wa Mkutano wa Kumi (10) wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summit) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu leo 3-10-2023, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Afisa Masoko wa Hospitali ya Aga Khan Tanzania Rukhsar Kanji , wakati akitembelea mabanda ya maonesho ya Taasisi mbalimbali za Afya Tanzania, kabla ya kuufungua Mkutano wa Kumi (10) wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summit) uliofanyika 3-10-2023 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Rais wa THS Dkt.Omary Chillo, wakimsikiliza Sister Mary Shadrack alipotembelea banda la OR –TAMISEMI Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii na Lishe, kabla ya kufungua Mkutano wa Kumi (10) wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summit) uliofanyika leo 3-10-2023 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan