Ikulu Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na waumini wa dini ya Kiislam Katika sala ya Ijumaa iliofanyika Masjid Rahman Kijichi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk Hussein Ali Mwinyi amefanya Mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Prof Kabudi Ikulu leo

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi amewatembelea Bi.Fatma Karume na Mzee Abdalla Rashid

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na ujumbe wa Wakurugenzi wa Makampuni binafsi Tanzania Ikulu Leo

RAIS wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku, wakati alipofika Ikulu