Ikulu Blog

Dk.Shein amezungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi, kwa kipindi cha mwezi Julai 2018 hadu March 2019,uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatilia maelezo ya Utekelezaji wa Mpango Kazi waWizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kwa kipindi cha Mwezi Julai 2018 hadi March 2019, ikisomwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu, kushoto, katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
  • WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi wa Julai 2018 hadi March 2019, uliofanyika chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
  • KATIBU Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Salum Maulid, akiwasilisha Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe .Dk.Ali Mohamed Shein, akiongoza mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Kipindi cha mwezi Juali 2018 hadi March 2019, kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar leo,24-5-2019. kushoto Katibu Mkuu Kiongozi Dkt Abdulhamid Yahya Mzee, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiongoza mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Kipindi cha mwezi Juali 2018 hadi March 2019, kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar leo,24-5-2019. kushoto Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.
  • WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi wa Julai 2018 hadi March 2019, uliofanyika chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
  • NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma Zanzibar Ndg. Seif Shaaban Mwinyi, akichangia katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi Julai 2018 hadi March 2019, uliofanyika katika ukumbi Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
  • KATIBU Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee akizungumza wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi Julai 2018 hadi March 2019, uliofanyika kjatika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.
  • MAOFISA wa Idara mbalimbali za Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi Julai 2018 hadi March 2019, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo ya Kibweni Zanzibar,24-5-2019.
  • Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Ndugu Hassan Khatib pamoja na Maafisa mbali mbali wa Ofisi ya Rais Ikulu wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi Julai 2018 hadi March 2019, na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein Ikulu ya Kibweni Unguja
  • KATIBU wa Rais wa Zanzibar Ndg. Haroub Shaib akizchangia wakati wa hafla ya mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi Wizara ya Nchi Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kwa kipindi cha mwezi Juali 2018 hadi March 2019, uliofanyika Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
  • Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Diaspora Zanzibar Ndugu Adila Hilal Vuai, akizungumza wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpangio Kazi kwa kipindi cha mwezi Julai 2018 hadi March 2019, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.

Dk. Shein amezungumza na uongozi wa Wizara ya Tawala za Mikoa na Vikosi Maalum SMZ.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduz Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijiandaa kuaza Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi,wa Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kwa kipindi cha mwezi wa Julai 2018 hadi March 2019,uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar, kulia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum, Mhe.Haji Omar Kheri.
  • MKURUGENZI Mtendaji wa Ofisi ya Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt.Hussein Hussein Khamis Shaban, akizungumza wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
  • WAKUU wa Wilaya za Unguja na Pemba wakiwa katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar. ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.
  • KATIBU Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Bi. Radhia Rashid Haroub,akiwasilisha ripoti ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wac Wizara yake,wakati wa mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar kulia Wakuu wa Mikoa ya Unguja na Pemba, wakifuatilia mkutano huo.
  • MAOFISA wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, wakifuatilia mkutano huo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
  • WAKUU wa Vikosi vya Idara Maalum vya SMZ wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai 2018 hadi March2019, kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.D k.Ali Mohamed Shein, akifuatilia maelezo ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Nchi Ofisi yac Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, ikisomwa na Waziri Mhe. Haji Omar Kheri kushoto, wakati wa mkutano huo uliofanyika Ikulu Ndogo Kibweni
  • KATIBU Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bi. Radhia Rashid Hussein Haroub, akisoma maelezo ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi Julai 2018 hadi March 2019, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar

Rais wa Zanzibar Dk.Shein amezungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi, wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, uliofanyika Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi Julai 2018 hadi March 2019, Ofisi ya Makamu wa Pili wac Rais wa Zanzibar, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni leo,22-5-2019, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi
  • WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mohammed Aboud Mohammed, akiwasilisha maelezo ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi wa Julai 2018 hadi March 2019 wa Wizara yake uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.22-5-2019 kulia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na kushoto Naibu Waziri Mhe. Mihayo Juma N'hunga
  • WATENDAJI wa Idara za Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi Julai 2018 hadi Marchi 2019, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
  • Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Ndg.Seif Shaban Mohamed,akiwasilisha ripoto ya Matumizi na Mapato ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Ofisi hiyo, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.

Dk.Shein azungumza na uongozi wa Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee akizungumza wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar, uliofanyikia katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
  • NAIBU Waziri Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar Mhe. Lulu Msham, akwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yake katika mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar,22-5-2019, kushoto Mshauri wa Rais Masuala ya Utamaduni Zanzibar Mhe. Chimbeni Kheri.
  • MAOFISA wa Idara za Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar,wakifuatilia Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi Julai 2018 hadi March 2019.
  • KATIBU Mkuu Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar Ndg. Omar Hassan King akiwasilisha viwangu vya Matumizi na Mapato ya Wizara wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi, uliofanyika Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar, kushoto Mshauri wa Rais Afisi ya Rais Pemba Mhe. Maua Abeid Daftari na Mshauri wa Rais Masuala yac Uwezeshaji Mhe. Abdulrahaman Mwinyijumbe.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar

Dk.Shein akujumuika na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari aliowaandalia

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe Haji Omar Kheri, alipowasili katika viwanja vya Chuo Cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari Maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe Vuai Mwinyi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya futari iliofanyika Mkoa wa Kaskazini Unguja, kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe Vuai Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na kuagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Unguja.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na kuagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Unguja.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya futari iliofanyika Mkoa wa Kaskazini Unguja, kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe Vuai Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu.
  • WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, katika futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Unguja
  • WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika katika Futari Maalum walioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Vuai Mwinyi akitowa shukrani kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini baada ya kumalizika hafla ya Futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskaziuni Unguja baada ya kumaliza futari aliyowaandalia katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskaziuni Unguja baada ya kumaliza futari aliyowaandalia katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.