Ikulu Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Shein azungumza na ujumbe wa UWT.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania.(UWT) Bi. Thuwaiba Editon Kisasa, kulia Katibu Mkuu wa UWT,Bi.Queen Mlozi na kushoto Mwenyekiti wa UWT Bi.Gaudensia Kabaka, walipofika Ikulu Zanzibar kumtambulisha Mwenyekiti wa UWT Taifa Bi.Kabaka.10-12-2018.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Umoja huo Bi. Gaudensia Kabaka,Makamu Mwenyekiti wa UWT Bi.Thuwaiba Editon Kisasa na Katibu Mkuu wa UWT.B. Queen Mlozi, wakiwa katika ukumbi wa mkutano Ikulu wakati wa mazungumzo yao walipofika kujitambulisha.kwa Rais wa Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania,(UWT) Bi. Gaudensia Kabaka,alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar,akiwa na Ujumbe wake wa Viongozi wa UWT.kulia Makamu Mwenyekiti wa UWT Bi. Thuwaiba Editon Kisasa na Katibu Mkuu wa UWT.Bi.Queen Mlozi 10-12-2018.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Shein azungumza na Balozi wa UAE nchini Tanzania Ikulu.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi Mpya wa UAE Nchini Tanzania Mhe.Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, alipofiki Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar na kufanya mazungumzo nae Ikulu Zanzibar 10-12-2018,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Balozo wa UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar, alipofika kujitambulisha10-12-2018.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi Mpya ya UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar 10-12-2018.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Shein, azungumza na Balozi wa Korea nchini Tanzania

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania,Balozi Song Geum-young, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini Tanzania,6-12-2018
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania Balozi Song Geum-young, alipofika Ikulu Zanzibar kuaga na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar 6-12-2018.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Kampuni ya KOLON Nchini Tanzania Ndg.Tiger Lee, kushoto kwa Rais ni Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania Balozi Song Geum –young, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini Tanzania,6-12-2018

Rais wa Zanzibar amezungumza na Ujumbe wa Washirika wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Meneja Mkaazi wa Growing Africa Agriculture (AGRA) wakati wa mazungumzo na Ujumbe wa Washirika wa Sekta ya Kilimo Tanzania, ukiongozwa na Mwakilishi wa FAO Tanzania na Mwenyekiti wa Washirika wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania Mr. Fred Kafeero, ulipofika Ikulu 30/11/2018 kwa mazungumzo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania na Mwenyekiti wa Washirika wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania Mr. Fred Kafeero, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kuongozana na Ujumbe wake
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Washiriki wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania kushoto Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania pia ni Mwenyekiti wa Washiriki wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania Mr, Fred Kafeero akiwa na Mwakilishi wa UNIDO Tanzania,Mauritius na EAC.Mr. Stephen Bainous Kargbo, 30/11/2018
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania Mr.Fed Kafeero, alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake wa Washirika wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo Tanzania, kwa mazungumzo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania pia ni Mwenyekiti wa Washirika wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania Mr. Fed Kafeero, wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania Mr. Fred Kafeero, alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake wa Washirika wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo Tanzania, kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar

Dk.Shein ahudhuria Mkutano wa Uchumi endelevu wa Bahari nchini Kenya

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati akiwasilisha Tamko la Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusiana na Uchumi Endelevu wa Bahari, akimuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Magufuli
  • BAADHI ya Washiriki wa Nchi mbalimbali wakifuatilia hutuba ya ufunguzi, wakati Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta akihutubia na kuufungua mkutano huo wa Uchumi Endelevu wa Bahari ,uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta Nairobi Nchini Kenya 26-11-2018.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika Mkutano pamoja na Marais wa Nchi mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Uchumi Endelevu wa Bahari(Sustainable Blue Economy) uliofanyika Jijini Nairobi katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati akiwasilisha Tamko la Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusiana na Uchumi Endelevu waBahari akimuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Magufuli.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Marais wa Nchi mbali mbali akiwemo Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta, ambao wameshiiki katika mkutano wa Kimataifa wa Uchumi Endelevu wa Bahari, uliofanyika 26-11-2018.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akipanda mti katika viwanja vya Majengo ya Ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa ya Kenyatta Jijini Nairobi Nchini Kenya baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi Endelevu wa Bahari, uliofanyika 26-11-2018.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Marais wa Nchi mbalimbali akiwemo Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta, wakielekea katika eneo maalumu lililotengwa kwa ajili ya upandaji wa miti kwa Marais waliohudhuria Mkutano huo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta leo Mjini Nairobi, katika ukumbi wa Jengo la Mikutano ya Kenyatta Nairobi baada ya ufunguzi wa Mkutano waRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta leo Mjini Nairobi, katika ukumbi wa Jengo la Mikutano ya Kenyatta Nairobi baada ya ufunguzi wa Mkutano wa