Ikulu Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Shein azungumza na Balozi wa UAE nchini Tanzania Ikulu.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi Mpya wa UAE Nchini Tanzania Mhe.Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, alipofiki Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar na kufanya mazungumzo nae Ikulu Zanzibar 10-12-2018,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Balozo wa UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar, alipofika kujitambulisha10-12-2018.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi Mpya ya UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar 10-12-2018.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Shein, azungumza na Balozi wa Korea nchini Tanzania

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania,Balozi Song Geum-young, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini Tanzania,6-12-2018
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania Balozi Song Geum-young, alipofika Ikulu Zanzibar kuaga na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar 6-12-2018.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Kampuni ya KOLON Nchini Tanzania Ndg.Tiger Lee, kushoto kwa Rais ni Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania Balozi Song Geum –young, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini Tanzania,6-12-2018

Rais wa Zanzibar amezungumza na Ujumbe wa Washirika wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Meneja Mkaazi wa Growing Africa Agriculture (AGRA) wakati wa mazungumzo na Ujumbe wa Washirika wa Sekta ya Kilimo Tanzania, ukiongozwa na Mwakilishi wa FAO Tanzania na Mwenyekiti wa Washirika wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania Mr. Fred Kafeero, ulipofika Ikulu 30/11/2018 kwa mazungumzo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania na Mwenyekiti wa Washirika wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania Mr. Fred Kafeero, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kuongozana na Ujumbe wake
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Washiriki wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania kushoto Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania pia ni Mwenyekiti wa Washiriki wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania Mr, Fred Kafeero akiwa na Mwakilishi wa UNIDO Tanzania,Mauritius na EAC.Mr. Stephen Bainous Kargbo, 30/11/2018
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania Mr.Fed Kafeero, alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake wa Washirika wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo Tanzania, kwa mazungumzo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania pia ni Mwenyekiti wa Washirika wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania Mr. Fed Kafeero, wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania Mr. Fred Kafeero, alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake wa Washirika wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo Tanzania, kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar

Dk.Shein ahudhuria Mkutano wa Uchumi endelevu wa Bahari nchini Kenya

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati akiwasilisha Tamko la Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusiana na Uchumi Endelevu wa Bahari, akimuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Magufuli
  • BAADHI ya Washiriki wa Nchi mbalimbali wakifuatilia hutuba ya ufunguzi, wakati Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta akihutubia na kuufungua mkutano huo wa Uchumi Endelevu wa Bahari ,uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta Nairobi Nchini Kenya 26-11-2018.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika Mkutano pamoja na Marais wa Nchi mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Uchumi Endelevu wa Bahari(Sustainable Blue Economy) uliofanyika Jijini Nairobi katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati akiwasilisha Tamko la Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusiana na Uchumi Endelevu waBahari akimuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Magufuli.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Marais wa Nchi mbali mbali akiwemo Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta, ambao wameshiiki katika mkutano wa Kimataifa wa Uchumi Endelevu wa Bahari, uliofanyika 26-11-2018.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akipanda mti katika viwanja vya Majengo ya Ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa ya Kenyatta Jijini Nairobi Nchini Kenya baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi Endelevu wa Bahari, uliofanyika 26-11-2018.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Marais wa Nchi mbalimbali akiwemo Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta, wakielekea katika eneo maalumu lililotengwa kwa ajili ya upandaji wa miti kwa Marais waliohudhuria Mkutano huo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta leo Mjini Nairobi, katika ukumbi wa Jengo la Mikutano ya Kenyatta Nairobi baada ya ufunguzi wa Mkutano waRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta leo Mjini Nairobi, katika ukumbi wa Jengo la Mikutano ya Kenyatta Nairobi baada ya ufunguzi wa Mkutano wa

Uzinduzi wa Kliniki ya Meno Kivunge Kaskazini “A” Unguja.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Joshua Christopher Nyari Mhandisi wa Kampuni ya Ujenzi ya World Class Engineering Contractas ZNZ Branchi yenye Makamo makuu yake Jijini Dar es Salaam wakati alipotembelea ujenzi wa majengo mapya ya Hospitali Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Hosptali ya Kivunge Dk.Tamim Hamad Said (kulia)wakati alipotembelea ujenzi wa majengo mapya ya Hospitali Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,kabla ya kuzindua Kliniki ya Meno (wa pili kulia) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha maabara katika Hospitali ya Kivunge Mkoa wa kaskazini Unguja Nd,Hassan Wadi (kulia)wakati alipotembelea katika Hospitali hiyo leo,kabla ya kuzindua Kliniki ya Meno (katikati) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akimuangalia Mzazi Tatu Simai wa Kombo wa Pwani Mchangani (28) katika chumba cha watoto Njiti ambao huzaliwa hawajatimia muda katika Hospitali ya Kivunge Mkoa wa kaskazini Unguja kabla ya kuzindua Kliniki ya Meno leo,(kushoto)Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kama ishara ya kuzindua Kliniki ya meno katika Hospitali ya Kivunge Mkoa wa kaskazini Unguja leo (kulia)Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed na Dr.Feroz Jafferji Mratibu wa taasisi ya HIPZ ya Ungereza inayotoa huduma za Afya kwa Hosptali ya Kivunge na Makunduchi(kushoto)Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Dr. Feroz Jafferji Mratibu wa Taasisi ya HIPZ inayotoa huduma za Afya katika Hospitali ya Kivunge na Makunduchi mara baada ya kuzindua Kliniki ya meno katika Hospitali ya Kivunge Mkoa wa kaskaini Unguja (wa pili kulia)Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuzindua Kliniki ya Meno leo ambayo inasimamiwa na HIPZ kutoka Uingereza ambapo inatoa huduma za Afya katika Makunduchi hospitali na Kivunge Mkoa wa kaskaini Unguja (kulia) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed
  • Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili na msafara wake katika Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja kuzindua Kliniki ya Meno ambayo inayoendeshwa na taasisi ya HIPZ kutoka Uingereza ikiwa inatoa huduma za Afya kwa Kivunge na Hospitali ya Makunduchi chi ya usimamizi wa Dr.Feroz Jafferji (hayupo pichani)
  • Baadhi ya wafanyakazi katika Hospitali ya Kivunge na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya uzinduzi wa Kliniki ya Meno sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Hospitali hiyo ambayo kliniki hiyo huduma zake zinatolewa na taasisi ya HIPZ kutoka Nchini Uingereza
  • Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili akitoa hutuba yake katika sherehe za uzinduzi wa Kliniki ya Meno leo iliyofanyika katika Hospitali ya Kivunge Mkoa wa kaskazini Unguja Uingereza inayosimamiwa na taasisis ya HIPZ kutoka Nchini Uingereza ambapo hutoa huduma za Afya katika Hospitali ya Makunduzi na Kivunge
  • Madaktari wa kujiutolea wa HIPZ kutoka Uingerezawakiwa katika sherehe za uzinduzi wa kliniki ya meno katika Hospitali ya Kivunge Mkoa wa kaskazni Unguja leo ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alifanya uzinduzi huo pamoja na kutembelea sehemu mbali mbali Hospitali hapo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya uzinduzi wa Kliniki ya Meno sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Hospitali hiyo ambayo kliniki hiyo huduma zake zinatolewa na taasisi ya HIPZ kutoka Nchini Uingereza
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya uzinduzi wa Kliniki ya Meno sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Hospitali hiyo ambayo kliniki hiyo huduma zake zinatolewa na taasisi ya HIPZ kutoka Nchini Uingereza