Ikulu Blog

Mkutano wa Mabalozi Wilaya ya Dimani (KICHAMA)

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Mabalozi wa Wilaya ya Dimani CCM Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika katika Ukumbi wa CCM Amani -Mkoa (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Mhe,Mohamed Rajab na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi, Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Mfenesini CCM Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika Ukumbi wa CCM Amani -Mkoa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Mohamed Rajab (kushoto)Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (wa pili kulia),wakiimba Wimbo wa Mashujaa"Sisi Sote Tumegomboka"wakati wa Mkutano wa Mabaalozi Wilaya ya Mfenesini uliofanyika Jana katika Ukumbi wa CCM Amani Mkoa.
  • Baadhi ya Mabalozi wa Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi Uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Amani-Mkoa.
  • Viongozi na Baadhi ya Mabalozi wa Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi Uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Amani-Mkoa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Mashina (Mabalozi) Wenyeviti wa Matawi ya CCM,Makatibu wa Kaskani wa Wilaya ya Dimani CCM Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika katika Ukumbi wa CCM Amani –Mkoa.
  • Baadhi ya Mabalozi wa Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi Uliofanyika katika ukumbi wa CCM Amani-Mkoa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Mabalozi wa Wilaya ya Dimani CCM Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika katika Ukumbi wa CCM Amani -Mkoa (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Mhe,Mohamed Rajab na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala.
  • Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala, alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati wa mkutano wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu wa Maskani wa Wilaya ya Dimani uliofanyika leo katika Ukumbi wa CCM Amani- Mkoa.
  • Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dimani Mhe.Hussein Mjema(kimti) alipokuwa akizungumza machache na kumkaribisha Mwenyekiti wa Mkoa wa Mahgaribi Kichama katika mkutano wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu wa Maskani wa Wilaya hiyo katika Ukumbi wa CCM Amani Mkoa leo,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipokea taarifa ya Mabalozi wa Wilaya ya Dimani baada ya kusomwa na Balozi Mwanakheri Iddi Ramadhan (kulia)katika mkutano wa Viongozi Mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM katika Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya CCM Amani Mkoa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Mohamed Rajab (kushoto)Waziri Kiongozi Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Kijitoupelei Mhe.Shamsi Vuai Nahodha,(kulia) akifuata Mwenyekiti wa Wilaya ya Dimani CCM Hussein Mjema (kimti) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala,wakiimba wa Mashujaa Wimbo wa "Sisi Sote Tumegomboka"wakati wa Mkutano wa mabaalozi Wilaya ya Dimani uliofanyika leo katika Ukumbi wa CCM Amani Mkoa.
  • Viongozi na Baadhi ya Mabalozi wakiimba Wimbo wa Mashujaa “Sisi Sote Tumegomboka” katika Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Dimani CCM Mkoa wa Magharibi (Kichama) uliofanyika katika Ukumbi wa CCM- Amani Mkoa mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia bMakamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya CCM Amani Mkoa wakati wa Mkutano wa Viongozi wa Mashina,Wenyeviti wa Matawi na Mkatibu wa Maskani wa Wilaya ya Dinami Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya CCM Amani Mkoa.

Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani Kichama

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipokea Taarifa ya Mabalozi wa Wilaya ya Amani kutoka kwa Fatma Kassim wakati wa Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkabidhi kadi ya Uwanachama wa Chama cha Mapinduzi Nd, Salim Mussa Omar kutoka Chama cha CUF wakati wa Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani akiwa katika ziara ya kumarisha Chama cha CCM.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkabidhi kadi ya Uwanachama wa Chama cha Mapinduzi Nd,Mwanaisha Abdalla Bakari kutoka Tawi la CCM Nyerere wakati wa Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani akiwa katika ziara ya kumarisha Chama cha CCM (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Twalib Ali Twalib.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkabidhi kadi ya Uwanachama wa Chama cha Mapinduzi Nd,Juma Rajab Adam kutoka Tawi la CCM Mpendae wakati wa Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani akiwa katika ziara ya kumarisha Chama cha CCM (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Twalib Ali Twalib.
  • Mwanachama Mpya Nd.Salim Mussa Omar akila kiapo mara baada ya kukabidhiwa Kadi ya Uwanachama wa Chama cha Mapinduizi CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo katika Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani.
  • Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi CCM wakila kiapo mara baada ya kukabidhiwa Kadi zao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani.
  • Mabalozi wa Wilaya ya Amani Mkoa wa Mjini Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza nao katika Mkutano wa Kuimarisha Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwahutubia Mabalozi wa Wilaya ya Amani Mkoa wa Mjini Kichama wakati alipozungumza nao katika Mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani.

Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Kati Unguja.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi piaMakamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ramadhan Abdalla Ali (kichupa) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano waRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi piaMakamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ramadhan Abdalla Ali (kichupa) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini UngujRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguj
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Bi.Sauda Ramadhan Mpambalimoto mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa Viongozi wa mashina (Mabalozi), Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hassan Khatibu Hassan alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa Viongozi wa mashina (Mabalozi) Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipokea taarifa ya Mabalozi wa Wilaya ya Kati baada ya kusomwa na Balozi Mkombe Vuai Khamis katika mkutano wa Viongozi Mashina (Mabalozi),Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali wa mashina wa Wilaya ya Kati na watendaji wa Chama katika mkutano maalum wa kuimarisha chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ramadhan Abdalla Ali.
  • Mabalozi wa CCM wa Shehia mbali mbali katika Wilaya ya Kati wakinyoosha mikono Juu kuungamkono Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa Viongozi hao na Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali wa mashina wa Wilaya ya Kati na watendaji wa Chama katika mkutano maalum wa kuimarisha chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Viongozi,Watendaji wa Chama cha Mapinduzi pamoja na Mabalozi wa Wilaya ya Kati wakiimba wimbo wa Taifa “Sisisote Tumegomboka” wakati wa mkutano wa Viongozi mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
  • Mabalozi wa Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa Viongozi mashina (Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali wa mashina wa Wilaya ya Kati na Watendaji wa Chama katika mkutano maalum wa kuimarisha chama cha Mapinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.

Dk.Shein amekutana na Mabalozi wa Wilaya ya Micheweni na Chake Chake Pemba

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) wa Wilaya ya Micheweni katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mkoa huo,(kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro Wilaya ya Chakechake wakati wa Mkutano wa Viongozi wa Mashina jana akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba.
  • Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Micheweni Wilaya ya Micheweni Mkoani wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Micheweni akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
  • Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Micheweni na Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Micheweni akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
  • Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Chakechake Mkoani wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao jana katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Fidelcastro akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Fidelcastro Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
  • Wanachama na Viongozi wa Mashina ya CCM wa Wilaya ya Chakechake wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro Wilaya ya Chake chake alipozungumza nao akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba.
  • Wanachama na Viongozi wa Mashina ya CCM wa Wilaya ya Chake chake wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro Wilaya ya Chake chake alipozungumza nao akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini.
  • Balozi Kiembe Khamis Ramadhan akisoma taarifa ya Utekelezaji ya kazi za Mabalozi wa Wilaya ya Chake chake katika mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Kitabu cha Zanzibar ya Law, wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba, kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe Haroun Ali Suleiman.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Fidelcastro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
  • Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Chake chake Mkoani wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Fidelcastro akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.

Dk.Shein amekutana na Mabalozi wa Wilaya ya Mkoani Pemba.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala (Mabodi) alipowasili Skuli ya Sekondari ya Jumapindua Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba kwa katika Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya hiyo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi (katikati) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Yussuf Ali Juma.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitia sani kitabu cha wageni alipofika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohamed Juma Pindua Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba kwa kuzungumza na Mabalozi akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Yussuf Ali Juma.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Jumapindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari wa Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein akionesha Ilani ya Chama kwa Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) alipokuwa akizungumza nao katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
  • Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Saadala (Mabodi) alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
  • Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi waliohudhuria katika Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
  • Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Mkoani Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
  • Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Mkoani Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.