Dk.Shein amefungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Waalimu Zanzinar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mkuu wa ZATU Mussa Omar Tafurwa, alipowasili katika viwanja vya Wizara habari kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti Taifa wa Chama cha Walimu Uganda Tumuhimbise Zadock, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais wa Chama cha Walimu Tanzania Bara. Leiya Ulaya,wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Chama cha Walimu kutoka (DLF) Flemming Sorrensen, baada ya hafla ya uzinduzi wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Walimu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa viongozi wa meza kuu wakiimba wimbo wa wafanyakazi wa solidariti foreva wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama cha Walimu Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chama cha Walimu Zanzibar baada ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni.
BAADHI ya Walimu wa Chama cha Walimu Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua mkutano wa Sita uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Walimu wakati wa hafla ya Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama cha Walimu Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar wakati wa ufunguzi huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha picha ya sura yake aliokabidhiwa zawadi na Chama cha Walimu Zanzibar wakati wa hafla ya Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
RAIS w Chama cha Walimu Zanzibar Seif Mohammed akisoma risala ya Chama hicho wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama hicho wakati wa ufunguzi huo uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
KAIMU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia ni Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kuufungua mkutano huo.
BAADHI ya Waalikwa wa Vyama Rafiki wa Vyama wa Walimu walioalikwa kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar wakifuatilia mkutano huo wakati wa ufunguzi wake uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni.
WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Kisiwandui wakicheza ngoma ya mwanandege wakati wa ufunguzi huo wa mkutano mkuu wa chama cha Walimu Zanzibar.
BAADHI ya Wanachama wa Chama cha Walimu Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi ya ufungunguzi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa ufunguzi wa mkutano huo leo uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar.
Dk. Shein Afungua Jengo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu, alipowasili katika viwanja vya jengo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi A. Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifuatana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu wakati wa uzinduzi huo ya jengo jipya la mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akitowa maelezo wakati wa uzinduzi huo ya jengo jipya la mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kulifungua jengo jipya la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja,kushoto Waziri Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria na Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Haroun Ali Suleiman na kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Makungu na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akizungumza wakati wa uzinduzi wa Jengo jipya la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Zanzibar kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,kuhutubia hadhara hiyo
KAIMU Mrajis wa Mahakama Zanzibar Mhe Yessaya Kayange akitowa maelezo ya kitaalamu ya ujenzi wa jengo hilo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe wakati wa hafla ya ufunguzi wake.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar, Mhe. Haroun Ali Suleiman akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Jengo la Mahakama ya Wilaya Mwamakwerekwe Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Jengo la Mahakama ya Wilaya Mwamakwerekwe Zanzibar.
BAADHI ya Wageni waalikwa wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa Jengo jipya la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja wakati wa uzinduzi wake.
BAADHI ya Majaji na Mahakimu wa Mahakama za Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa jengo hilo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, wakiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari Mwanakwerekwe Unguja
BAADHI ya Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Mwanakwerekwe Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo hilo jipya baada ya ukarabati wake mkubwa.
Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Ofisi Kuu ya Zanzibar.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha kwanza cha Kamati Maalum ya CCM kilichofanyika katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM kisiwandui Zanzibar, baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa CCM uliofanyika mwaka jana Dodoma.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha kwanza cha Kamati Maalum ya CCM kilichofanyika katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM kisiwandui Zanzibar, baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa CCM uliofanyika mwaka jana Dodoma.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ukumbi wa mkutano baada ya kuwasili na kupokelewa na Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdallah Juma Mabodi.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdallah Juma Mabodi.
WAJUMBE wa Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, akifungua mkutano huo wa kwanza wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM kisiwandui Zanzibar.
WAJUMBE wa Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua mkutano huo wa kwanza wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM kisiwandui Zanzibar.
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa wamesimama wakimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyakiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akiingia katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
WAJUMBE wa Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, akifungua mkutano huo wa kwanza wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM kisiwandui Zanzibar.
Uzinduzi wa Pasipoti mpya ya Kieletronikia.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mataaf wa Zanzibar Dk. Amani Karume alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini Jijini Dar es Salaam kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Kieletronikia.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini Jijini Dar es Salaam kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Kieletronikia.
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Tanzania Mhe.Mwigulu Lameck Nchemba, alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya Idara ya Idara ya Uhamiaji Kurasini Jijinin Dar es Salaam kwa ajili ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Kieletronikia.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Pasipoti yake Mpya ya kieletronikia baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Mwigulu Lameck Nchemba.
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Viongozi wa meza kuu wakiwa wamesimama wakati ukipigwa Wimbo wa Taifa.
MAOFISA Wakuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania wakitowa saluti wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla hiyo.
KAMISHNA Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Dkt. Anna Peter ,Makakala, akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wakiti wakitembelea majengo ya Idara ya Uhamiaji Makao Makuu kurasini Dar es Salaam.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka alama ya vidole wakati wa uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Tanzania za kieletronikia wakati wa uzinduzi huo uliofanyika katika Majengo ya Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini kushoto Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihudhuria hafla hiyo.
KAMISHNA Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Dkt. Anna Peter ,Makakala, akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wakiti wakitembelea majengo ya Idara ya Uhamiaji Makao Makuu kurasini Dar es Salaam.
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua Pasipoti Mpya za Tanzania kwa kuponyenza kitufe kuashiria uzinduzi huo.
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakiangalia Pasipoti Mpya za Tanzania za Kieletronikia wakati wa uzinduzi huo wakipata maelezo ya Ubora wake kutoka kwa Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Dk. Anna Peter Makakala.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia na kusoma ratiba ya hafla ya uzinduzi wa Pasipoti Mpya ya Tanzania, kulia Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Rais Mstaaf wa Zanzibar Dkt. Amani Karume wakiwa katika hafla hiyo kurasini Jijini Dar es Salaam.
BALOZI wa Ireland Nchini Tanzania Balozi Paul Sherlock, akitowa maelezo wakati wa uzinduzi huo wa Pasipoti mpya za Tanzania uliofanyika katika viwanja vya Idara ya Uhamiaji Makao Makuu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
KAMISHNA Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Dk. Anna Peter Makakala akitowa maelezo ya kitaalamu ya utengenezaji wa Pasipoti Mpya za Tanzania wakati wa uzinduzi wake uliofanyika katika Majengo ya Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini Jijini Dar es Salaam.
BAADHI ya Waalikwa na Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao Tanzania wakifuatilia hafla hiyo ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Kielotronikia.
WANANCHI wa Jiji la Dar es Salaam wakifuatilia hafla hiyo ya Uzinduzi Pasipoti Mpya za Tanzania zilizozinduliwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya kurasini Makao Makuu ya Uhamiaji.
MAOFISA wa Idara ya Uhamiaji Tanzania wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya ya Kieletronikia.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Rais Mataaf wa Zanzibar Dk. Amani Karume alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini Jijini Dar es Salaam kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Kieletronikia.
Dk.Shein ajumuika na wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika chakula maalum cha Mchana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar kuhudhuria hafla ya chakula cha mchana Vikosi vya Ulinzi naUsalama vilivyoshiriki gwaride la kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika 12-1-2018 katika viwanja vya Amaan Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni kuhudhuria hafla ya chakula cha mchana na Wanajeshi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama walioshiriki katika Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi katika viwanja vya Amaan 12-1-2018.
MAOFISA wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakipiga saluti wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wakati wa hafla ya chakula cha mchan kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa amesimama na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakati ukipingwa wimbo wa Taifa alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu wa KVZ Mtoni Zanzibar.
MAOFISA wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakipiga saluti wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wakati wa hafla ya chakula cha mchan kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ,wakijumuika na Wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar katika chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili yao katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na viongozi wa meza kuu wakiitikia dua iliokuwa ikisomwa na Askari wa Kikosi cha JKU Said Bakari Ali, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo.
WAPIGANAJI wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakijumuika katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kwa askari hao walioshiriki katika maadhimisho ya sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
WAPIGANAJI wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakijumuika katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kwa askari hao walioshiriki katika maadhimisho ya sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi Gavu, akitowa neno la shukrani kwa washiriki wa gwaride la kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika katika viwanja vya Amaan Zanzibar, hafla hiyo ya chakula cha mcha zimefanyika katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ,Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama nchini pamoja na Maafisa wa Vikosi mbali mbali wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika ghafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili yao katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar.