Ikulu Blog

Dk. Ali Mohamed Shein ahudhuria Chakula cha Mchana na Vijana wa Halaiki.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi baada ya kumalizika hafla hiyo ya kachula maalum kilichoandaliwa kwa ajali yao katika Kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar baada ya kumaliza hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya Vijana hao katika Viwanja vya KVZ Mtoni
  • WAZIRI wa Nchi na Afisi ya Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu akitowa neno la shukrani wakatika kumalizika kwa Hafla ya Chakula cha Mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzinar kwa ajili yao kilichofanyika katika Kambi ya Vikosi vya KVZ Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu wa Halaiki Zanzibar Ali Mohammed Bakari, alipowasili katika viwanja vya Kikosi cha KVZ Mtoni kuhudhuria hafla hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Viongozi wengine wa Serikali wakiitikia dua baada ya kumalizika hafla ya chakula cha mchana kilichofanyika katika Viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamen Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiwa katika picha ya pamoja na Vijana walioshiriki Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika Uwanja wa Amaan 12-1-2018.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakizungumza baada ya kumalizika kwa hafla ya chakula cha mchana a Vijana hao, katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni
  • BAADHI ya Wanafunzi na Vijana walioshiriki sherehe za maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakishiriki katika hafla ya chakula maalum cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
  • BAADHI ya Wanafunzi na Vijana walioshiriki sherehe za maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakishiriki katika hafla ya chakula maalum cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
  • BAADHI ya viongozi wa Wanafunzi na Vijana walioshiriki sherehe za maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakishiriki katika hafla ya chakula maalum cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
  • VIJANA wa Bendi ya Chipukizi wakitoa burudani wakati wahafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya Vijana na Wanafunzi walioshiriki katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar.
  • BAADHI ya Wanafunzi na Vijana walioshiriki katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakijumuika katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,kilichofanyika katika viwanja vya Vikosi vya KVZ Mtoni Zanzibar.
  • BAADHI ya Wanafunzi na Vijana walioshiriki sherehe za maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakishiriki katika hafla ya chakula maalum cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,wakijumuika katika ghafla ya chakula cha mchana kwa vijana walioshiriki katika Halaiki ya kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Dk.Shein awasili Zanzibar Akitokea Nchi za Falme za Kiarabu UAE.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akitokea katika ziara yake ya wiki moja katika Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama,baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud,baada ya kuzungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Mke Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakitokea katika ziara ya Kiserikali katika Nchi za UAE.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akivishwa shada la maua na mtoto aliyeandaliwa wakati wa kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akivishwa shada la maua na mtoto aliyeandaliwa wakati wa kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • WAANDISHI wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar wakiwa na Baadhi ya Mawaziri waliofuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakifuatilia Mkutano huo na waandishi katika chumba cha VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waandishi wa Vyombo vya Habari mbalimbali vilioko Zanzibar akizungumzia mafanikio ya ziara yake katika Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu, baada ya kuwasili Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Dk. Shein Atembelea Kiwanda Cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed, akiendelea na ziara yake katika Nchini za Umoja wa Falme za Nchi Kiarabu UAE, akitembelea Kiwanda cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing, kujionea utaalamu wa kuhifadhi samaki na kusafirishwa nje
  • WAFANYAKAZI wa Kiwanda cha Samaki cha Sharjah East Fishing Processing wakiwa katika zoezi la kutayarisha kamba kwa ajili ya kupekiwa na kusafirishwa nje
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Sharjah East Fishing Processing K.V.Thomas, bada ya kumaliza ziara yake kutembelea kiwanda hicho
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya utayarishaji wa Kambo hadi kupekiwa kwa ajili ya kusafirishwa nje ya Nchi na katika Soko la ndani akiwa katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed, akiendelea na ziara yake katika Nchini za Umoja wa Falme za Nchi Kiarabu UAE, akitembelea Kiwanda cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing, kujionea utaalamu wa kuhifadhi samaki na kusafirishwa nje

Dk.Shein,azungumza na Mfalme wa Dubei,wafanyabiashara,atembelea Bandari ya Jebel Ali Port.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Mfalme Sheikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice Presdent Prime Minister and Ruler of Dubai, wakielekea katika chumba cha mkutano wakati alipowasili katika makaazi yake Dubai kwa mazungumzo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Jebel Ali Port and Free Zone Dubai, alipotembelea bandari hiyo, akiwa katika chumba cha mitambo ya kushushia mizigo kwa kutumia vifaa vya kisasa vya kieletroniki,kushushia na kupakiilia mizigo katika meli.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Mradi wa Ujenzi wa Nakheel New City Development and Palm Jumeirah Project Nchini Dubai, akipata maelezo kutoka kwa CEO wa Kampuni ya Nakheel Sanjey Machand.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Mfalme Sheikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice Presdent Prime Minister and Ruler of Dubai, wakielekea katika chumba cha mkutano wakati alipowasili katika makaazi yake Dubai kwa mazungumzo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akuuliza jambo wakati alipotembelea Bandari ya Kisasa ya Dubai ya Jebel Ali Port and Free Zone, akiwa katika chumba cha mitambo ya Kieletroniki huendesha mashine za kushushia na kupakilia makontena katika meli zinazofika katika bandari hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Jebel Ali Port and Free Zone Dubai, alipotembelea bandari hiyo, akiwa katika chumba cha mitambo ya kushushia mizigo kwa kutumia vifaa vya kisasa vya kieletroniki, kushushia na kupakiilia mizigo katika meli.
  • MFALME Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice Prisedent, Prime Minister anda Ruler of Dubai, akiwa na Mgeni wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakitoka ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza CEO wa Nakheel Sanjey Machanda akitowa maelezo ya picha mbalimbali wakati wa kutembelea mradi huo, akiwa katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mfalme Shaikh. Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika makaazi ya Mfalme Dubai akiwa katika ziara yake katika Nchi za UAE.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali. Mohamed Shein, Mfalme wa Dubai Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, wakibadilisha mawazo na CEO na Rais Shirika la Ndege la Emirates Airline Sheikh.Ahmed Bin Saeed Al Makhtoum,baada ya mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa makaazi ya Mfame Nchini Dubai.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mfalme Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum,Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, alipofika katika makaazi yake ya kiongozi huo Nchini Dubai akiwa katika ziara yake ya kiserikali, kulia Balozi wa Tanzania katika Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk na kushoto wasaidizi wa Mfalme, wakiwa katika ukumbi wa mkutano.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mfalme Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum,Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, alipofika katika makaazi yake ya kiongozi huo Nchini Dubai akiwa katika ziara yake ya kiserikali, kulia Balozi wa Tanzania katika Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk na kushoto wasaidizi wa Mfalme, wakiwa katika ukumbi wa mkutano.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mazungumzo na Mfalme wa Dubai Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, alipofika katika makaazi ya Mfalme huyo Nchini Dubai akiendelea na ziara yake ya kiserikali katika Nchi za Umoja wa Falme za Nchi za Kiarabu (UAE).
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Mfalme Sheikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice Presdent Prime Minister and Ruler of Dubai, pamoja na wajumbe mbali mbali aliofuatana nao wakiwa katikapicha ya pamoja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Ujumbe wake akizungumza na Wafanyabiasha wa Umoja wa Nchini za Falme za Kiarabu UAE (Business Community Chamber of Commerce Dubai) mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa jengo la jumuiya hiyo Dubai.
  • MUONEKANO wa eneo la mizigo la bandari ya Jebel Ali Port Free Zone Dubai hutoa huduma za kupakia na kushusha mizigo katika bandari hiyo inayotumia mitambo ya kisasa Nchini Dubai
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Jebel Ali Port and Free Zone Dubai akitowa maelezo ya picha za muonekano wa Bandari hiyo inayotoa huduma za kupakia mizigo na kushusha wkati alipofanya ziara katika bandari hiyo Nchini Dubai.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza CEO wa Kampuni ya Nakheel New City Development and Paml Jumeirah Project Dubai Sanjey Machanda wakielekea kupanda boti kutembelea ujenzi wa Mradi huo katika ufukwe wa bahari ya Dubai.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza CEO wa Nakheel Sanjey Machanda akitowa maelezo ya picha mbalimbali wakati wa kutembelea mradi huo, akiwa katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE.
  • WAFANYAKAZI wa Bandari ya Jebel Ali Port and Free Zone wakiwa katika chumba maalum wakiendesha mitambo ya kielotroniki kwa kushushia na kupakilia mizigo katika Meli zinazofika katika bandari hiyo Nchini Dubai.
  • MFANYAKAZI wa Kampuni ya Nakheel New City Development Paml Jumeirah Projent akitowa maele za picha ya Mradi huo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali z Mohamed Shein,akitembelea Mradi akiwa katika boti.

Dk.Shein azungumza na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan,Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE) wakiwa katika ukumbi wa makadhi ya Kiongozi huyo Nchini Abu Dhabi. kulia Balozi wa Tanzania Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Mbarouk Nossor Mbarouk.
  • Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE)akimtambulisha Mtoto Aaliyah Al Mansoori kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohahed Shein, wakati wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mwenyeji wake , Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE), baada ya mazungumzo yao katika ukumbi wa makadhi ya Kiongozi huyo Nchini Abu Dhabi.
  • /RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE)wakiwa katika ukumbi wa makadhi ya Kiongozi huyo Nchini Abu Dhabi.
  • VIONGOZI wa Ngazi za juu wa Serikali ya Abu Dhabi wakihudhuria hafla hiyo katika ukumbi wa makaazi wa Mfalme wakati wa mkutano huo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE) wakitoka katika Jumba la Kiongozi huyo baada ya kumaliza mazungumzo yao.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika makaazi ya Kiongozi hiyo Nchini Abu Dhabi.