Habari

Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameihimiza jamii kujikita kwenye malezi yenye maadili ya kiislamu kwa watoto na vijana ili wawe na tabia njema zitakazomridhisha Mwenyezi Mungu (S.W)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameihimiza jamii kujikita kwenye malezi yenye maadili ya kiislamu kwa watoto na vijana ili wawe na tabia…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na MBLM imesema imejikiza zaidi kwenye teknolojia ya kisasa ili kuboresha sekta ya utalii kwa kuimarisha miundominu ya kisasa ya utoaji huduma bora kupitia viwanja vya ndege

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imejikiza zaidi kwenye teknolojia ya kisasa ili kuboresha sekta ya utalii kwa kuimarisha miundominu ya kisasa ya utoaji huduma bora kupitia viwanja vya…

Soma Zaidi

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaendeleza juhudi kuhakikisha maeneo yote ya Zanzibar yanafanikiwa na kufikiwa na maji safi na salama

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaendeleza juhudi kuhakikisha maeneo yote ya Zanzibar yanafanikiwa na kufikiwa na maji safi na salama kwa usatawi wa jamii na uchumi wa nchi.Rais wa…

Soma Zaidi